Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

IMG-20230524-WA0059.jpg
 
Hapo umenena vyema kabisa.

Kwa hiyo mleta mada ilibidi atuoneshe mwezi uliopita alilipwa tarehe ngapi ili tuone kama amecheleweshewa nshahara wake.
Wewe ni mpuuzi wakat mnadai mlipwe kabla ya idi ulikuwa wapi ?, mshahara wa April ulitoka 19

USSR
 
Mtamkumbuka magufuli. Bibie papara anatumia ovyo kununua magoli ya yanga kwa kudanganywa na wahuni eti hela zipo.
Mwezi huu wa Mei Yanga wamevuna milioni 40. Hiyo amount inaweza kuathiri ulipaji mshahara ya Serikali?
Ama kweli Madundukakolokolo mmevurugwa akili na Yanga mwaka huu.
 
Mwezi wa Mei unakamilika tarehe 31/05, no matter kama alipewa mshahara tarehe 01/04 au 30/04.
 
Kale ka msg ka INSUFICIENT BALLANCE huwa kanaudhi sana.

Lakini vilevile unapojaribu kutoa huku hujui kama imeingia au haijaingia mara unasikia mlio wa ATM inahesabu ankra kriiiiiiiiiiiiiii aise kale kamlio huwa kanaleta matumaini sana.
Kama hamna hela utapateje option ya kuchagua kiasi unachotaka kutoa??..ukiwa huna balance hiyo option haiji..ukiona options zipo maana yake mzigo upo..sio kusubiria mlio wa atm wa kuhesabu.
 
Kama hamna hela utapateje option ya kuchagua kiasi unachotaka kutoa??..ukiwa huna balance hiyo option haiji..ukiona options zipo maana yake mzigo upo..sio kusubiria mlio wa atm wa kuhesabu.
Hiyo ni kwa ninyi wa CRDB. Sisi wa NMB hata kama huna mia option ya kuweka kiasi inakuja kama kawaida ila ndio utapewa majibu kwamba salio halitoshi.
 
Nimeona misafara mirefu sana ya mbio za mwenye zikielekea Kigamboni kupitia Mbagala.

Kwa msafara ule wenye magari zaidi ya 300 nadhani pesa za Mwezi Mei karibu zote zimeelekezwa huko.
 
Back
Top Bottom