Mti mmkavu
Member
- May 24, 2023
- 36
- 68
Kweli hii kada imekuwa mtani wa jadi kwa kada nyingine, 🤣🤣🤣Hatari sana
Kweli hii kada imekuwa mtani wa jadi kwa kada nyingine, 🤣🤣🤣Hatari sana
Wewe ni mpuuzi wakat mnadai mlipwe kabla ya idi ulikuwa wapi ?, mshahara wa April ulitoka 19Hapo umenena vyema kabisa.
Kwa hiyo mleta mada ilibidi atuoneshe mwezi uliopita alilipwa tarehe ngapi ili tuone kama amecheleweshewa nshahara wake.
Ila unatumikia mafisadiMaana mimi sio fisadi
USSR
Mwezi huu wa Mei Yanga wamevuna milioni 40. Hiyo amount inaweza kuathiri ulipaji mshahara ya Serikali?Mtamkumbuka magufuli. Bibie papara anatumia ovyo kununua magoli ya yanga kwa kudanganywa na wahuni eti hela zipo.
Wapo kibaoJaman wadau Kuna waliopanda madaraja ajira ya mwezi 24/8/2018 msaada tujuane au tusubir bajet ya mwakani**
Wabongo kwa kujishauaBasi wamelipa kada zinazopokea mishahara midogo.
Mama bonge?Subiri tukusanye bilioni 30 ya huyu mama wa kariakoo...
Kama hamna hela utapateje option ya kuchagua kiasi unachotaka kutoa??..ukiwa huna balance hiyo option haiji..ukiona options zipo maana yake mzigo upo..sio kusubiria mlio wa atm wa kuhesabu.Kale ka msg ka INSUFICIENT BALLANCE huwa kanaudhi sana.
Lakini vilevile unapojaribu kutoa huku hujui kama imeingia au haijaingia mara unasikia mlio wa ATM inahesabu ankra kriiiiiiiiiiiiiii aise kale kamlio huwa kanaleta matumaini sana.
Hiyo ni kwa ninyi wa CRDB. Sisi wa NMB hata kama huna mia option ya kuweka kiasi inakuja kama kawaida ila ndio utapewa majibu kwamba salio halitoshi.Kama hamna hela utapateje option ya kuchagua kiasi unachotaka kutoa??..ukiwa huna balance hiyo option haiji..ukiona options zipo maana yake mzigo upo..sio kusubiria mlio wa atm wa kuhesabu.
huwezi amini, wengine hadi now hamna kitu.Watumishi wameshalipwa tayari leo saa 5 asubuhi, ambao hawajalipwa mpaka muda huo nilioutaja wasubiri barua zao za kufutwa kazi
Ahahaha
Watumishi wameshalipwa tayari leo saa 5 asubuhi, ambao hawajalipwa mpaka muda huo nilioutaja wasubiri barua zao za kufutwa kazi
Ahahaha
Na hili ndio limenishangaza hata mimi.Na walivyo wahuni yaani wametoa salary slip kabla ya kuingiza mzigo kwenye account.
Nimeona misafara mirefu sana ya mbio za mwenye zikielekea Kigamboni kupitia Mbagala.
Kwa msafara ule wenye magari zaidi ya 300 nadhani pesa za Mwezi Mei karibu zote zimeelekezwa huko.