Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

hivi inakuaje mishahara inlipwa tarehe 19? wakati mwezi una maliza tarehe 30 au 31?

haya sasa leo 24 watu wanalalamika wamechereweshewa
 
WAnanunua magoli mkuu, leo nasikia wamewalipa wachache, wengine waendelee kusubiri
 
Ckuwah kujua km mshahara unalipwa kimafungu kulingana na kada
Waziri wa fedha anamtwangia pilipili boss wake, ndiyo uone akili za watanzania, fedha za mishahara hakuna, fedha za kurusha ndege kwenda mpirani na kununua magoli zipo
 
Waziri wa fedha anamtwangia pilipili boss wake, ndiyo uone akili za watanzania, fedha za mishahara hakuna, fedha za kurusha ndege kwenda mpirani na kununua magoli zipo
Yaani mayele ndo anafaidi tozo yangu kweli?
 
Back
Top Bottom