Serikali iingilie kati

PAPAA JIWE

JF-Expert Member
May 12, 2014
863
134
Wanandugu,
kutokana na suala hili la uhaba wa ajira, makampuni na mashirika mbalimbali yamekuja na namna mpya ya kuwanyonya zaidi watanzania.

Siku hizi nafasi zinazotangazwa ni volunteer, internship na hizo za kulipwa kwa commissio. Kwa mtazamo wangu serikali inapaswa kuliangalia hili kwa sababu sasa hivi waajiri wamezidisha unyonyaji sana wa watanzania.

Serikali itafute mbinu ambayo itamnufaisha kila mmoja na sio waajiri kupiga mkwanja kwa kutumia internships, malipo kwa commissin na volunteerism.
 
Serikali hii sikivu. Ngoja vikao vya bunge viishe tuone maybe watatukumbuka wananchi maana mwakani sio mbali.
 
Naunga mkono hoja.,.makampuni wananyonya sana hata watu wenye vigezo wanalipwa chini ya kiwango kisa tu wanajua walio wengi wanazisaka pesa.,its is not fair for degree holder kulipwa 200000,..ktk maisha halisi ya sasa huo ni unyonyaji mkubwa na serikali inabidi iingilie kati ilo suala kwakweli..
 
Back
Top Bottom