Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,467
- 23,762
na haijafanyaKila kitu na athari zake dogo,Mimi nilitongoza kwa barua na vimemo enzi za SLP.Pambana na hali yako Serikali ina mengi ya kufanya
BIASHARA NI KIFUNGASHIO, bila kifungashio kinachovutia hautauza bidhaa yako ndiyo sababu mchina amewaamsha kwa kuwaletea vifungashio vya kila aina na vyote bomba.Waziri nape. Piga marufu matumizi ya Filters instagram. Kule ndani kila binti mzuri, ana ngozi ya kiulaya ulaya na mwonekano wa kuvutia.
Unamtumia nauli.... Unakuja mwona live.... Sura haina ung'aavu ambao aliuonesha kule insta au fb. Hii si sawa. Ni utapeli kabisa. Mimi mara 3 sasa nimewarudisha mademu makwao na kuahirisha ku cheza na games.
Mwingine nlimwona kabisa na hips... Na sura ngozi nzuri. Kuja onana naye kiuno cha kutafuta. Nikapiga simu kutaka uliza mbona hajaja yeye kaamua kumtuma mwingine. Akapokea huyu wa pili ninayemwona. Na sauti ni ile ile.
Nikamuuliza hips zake kaacha wapi.... Akainama hakujibu. Nlimwambia tu si mwaminifu amalizie kinywaji arudi home akapumzike.
Imagine muda nliopoteza? Imagine jinsi ambavyo ameumiza hisia zangu? Imagine pesa nliyompa? Je hii ni halali? Huu si ni utapeli kama utapeli mwingine? Serikali ipo wapi? Why inaacha wananchi wake tuumizwe?
DaaaaahBIASHARA NI KIFUNGASHIO, bila kifungashio kinachovutia hautauza bidhaa yako ndiyo sababu mchina amewaamsha kwa kuwaletea vifungashio vya kila aina na vyote bomba.
Tutafute mbunge mmoja alkaliongelee hili bungeni. Tunaibiwa sana mitandaoni. Fedha tunazoibiwa zingeweza kuwekezwa zikazalisha na kutengeneza ajira za kutosha tu.Waziri nape. Piga marufu matumizi ya Filters instagram. Kule ndani kila binti mzuri, ana ngozi ya kiulaya ulaya na mwonekano wa kuvutia.
Unamtumia nauli.... Unakuja mwona live.... Sura haina ung'aavu ambao aliuonesha kule insta au fb. Hii si sawa. Ni utapeli kabisa. Mimi mara 3 sasa nimewarudisha mademu makwao na kuahirisha ku cheza na games.
Mwingine nlimwona kabisa na hips... Na sura ngozi nzuri. Kuja onana naye kiuno cha kutafuta. Nikapiga simu kutaka uliza mbona hajaja yeye kaamua kumtuma mwingine. Akapokea huyu wa pili ninayemwona. Na sauti ni ile ile.
Nikamuuliza hips zake kaacha wapi.... Akainama hakujibu. Nlimwambia tu si mwaminifu amalizie kinywaji arudi home akapumzike.
Imagine muda nliopoteza? Imagine jinsi ambavyo ameumiza hisia zangu? Imagine pesa nliyompa? Je hii ni halali? Huu si ni utapeli kama utapeli mwingine? Serikali ipo wapi? Why inaacha wananchi wake tuumizwe?
Ni uhujumu uchumi KabisaWanatuhujumu sana hawa wanawake wa sasa
Kweli nyapu zinadidimiza uchumi na nguvu kazi za taifa! Serikali iingilie kati na kuweka bei elekezi ya kununua papuchiWaziri nape. Piga marufu matumizi ya Filters instagram. Kule ndani kila binti mzuri, ana ngozi ya kiulaya ulaya na mwonekano wa kuvutia.