Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,961
- 2,138
Kitu kimoja kilichonisitua ni uoneshaji holela wa video show kwenye mabus bila kuzingatia maadili ya nchi yetu. Sinema zenye kuonesha mambo ya mapenzi na ngono na zile zenye kuonesha mauaji ya kutisha zinaoneshwa holela tu bila kujali tofauti za umri wa abiria.
kweli mkuu.Katika kipindi cha mwezi huu nimekuwa na safari nyingi za kutembelea mikoa mbali mbali (route ya Dar to Morogoro, route ya Arusha to Dar, route ya Mwanza to Dar, route ya Dar to Tanga etc).
Kitu kimoja kilichonisitua ni uoneshaji holela wa video show kwenye mabus bila kuzingatia maadili ya nchi yetu. Sinema zenye kuonesha mambo ya mapenzi na ngono na zile zenye kuonesha mauaji ya kutisha zinaoneshwa holela tu bila kujali tofauti za umri wa abiria.
Kuna abiria wanaokuwa wanasafiri na watoto wadogo au na watoto wao wakubwa au wakwe. Kwenye baadhi ya mabus, wameenda hatua mbele zaidi, wanao esha sinema kutoka west africa zilizoondolewa sauti za lugha ya kiingereza na kuwekewa sauti zao kwa kiswahili, sinema hizi zinahamasiaha ngono. Sinema hizi ni aibu tupu.
Naiomba serikali ifuatilie jambo hili, hizi video za kwenye mabus ni aibu tupu!
.....Unalala tena? Huo ndo muda mzuri wa kusoma vitabu na kujiongeza, kama unasoma good book waweza hata kusahau hizo movies zao.Nikisafiri huwa nalala sana sijui kwanini..
Nimesafiri mara kwa mara dar-iringa- mbeya mpaka mpanda,wakianza na Rose Mhando, akija shusho ni mpaka kitou Cha kula,wakiweks sinema utabireka zaidi,sauti kama mabanda ya sinema.Katika kipindi cha mwezi huu nimekuwa na safari nyingi za kutembelea mikoa mbali mbali (route ya Dar to Morogoro, route ya Arusha to Dar, route ya Mwanza to Dar, route ya Dar to Tanga etc).
Kitu kimoja kilichonisitua ni uoneshaji holela wa video show kwenye mabus bila kuzingatia maadili ya nchi yetu. Sinema zenye kuonesha mambo ya mapenzi na ngono na zile zenye kuonesha mauaji ya kutisha zinaoneshwa holela tu bila kujali tofauti za umri wa abiria.
Kuna abiria wanaokuwa wanasafiri na watoto wadogo au na watoto wao wakubwa au wakwe. Kwenye baadhi ya mabus, wameenda hatua mbele zaidi, wanao esha sinema kutoka west africa zilizoondolewa sauti za lugha ya kiingereza na kuwekewa sauti zao kwa kiswahili, sinema hizi zinahamasiaha ngono. Sinema hizi ni aibu tupu.
Naiomba serikali ifuatilie jambo hili, hizi video za kwenye mabus ni aibu tupu!
Mengi ya mabasi wamefunga WiFi ukiomba code jibu hatujalipia,siku ya nne unarudi na basi lilelile ukiomba code jibu hatujalipia!Fungen na Wi-fi izo bongo movies na vimziki muangaliage kwenu
Tatizo sauti kama mabanda ya sinema uswazi, hawezi soma wanaoweza lala nawasifu......Unalala tena? Huo ndo muda mzuri wa kusoma vitabu na kujiongeza, kama unasoma good book waweza hata kusahau hizo movies zao.