Serikali idhibiti uoneshaji wa video kwenye mabus ya abiria

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,962
2,138
Katika kipindi cha mwezi huu nimekuwa na safari nyingi za kutembelea mikoa mbali mbali (route ya Dar to Morogoro, route ya Arusha to Dar, route ya Mwanza to Dar, route ya Dar to Tanga etc).

Kitu kimoja kilichonisitua ni uoneshaji holela wa video show kwenye mabus bila kuzingatia maadili ya nchi yetu. Sinema zenye kuonesha mambo ya mapenzi na ngono na zile zenye kuonesha mauaji ya kutisha zinaoneshwa holela tu bila kujali tofauti za umri wa abiria.

Kuna abiria wanaokuwa wanasafiri na watoto wadogo au na watoto wao wakubwa au wakwe. Kwenye baadhi ya mabus, wameenda hatua mbele zaidi, wanao esha sinema kutoka west africa zilizoondolewa sauti za lugha ya kiingereza na kuwekewa sauti zao kwa kiswahili, sinema hizi zinahamasiaha ngono. Sinema hizi ni aibu tupu.

Naiomba serikali ifuatilie jambo hili, hizi video za kwenye mabus ni aibu tupu!
 
Hiki kitu sijui kwanini mamlaka husika hazichukui hatua, kuna miziki ya nusu uchi mingi na madereva wanaoweka ni watu wazima wenye wajukuu
 
Halafu unakuta wanaweka sjui bongo move sjui nn
Vitu ambavyo hata hupend kuangalia

Km wanapenda abiria wao wafunge kwenye kila siti

Sio kuniwekea vimziki vya Nigeria sjui wap uchaf mtup
 
Katika kipindi cha mwezi huu nimekuwa na safari nyingi za kutembelea mikoa mbali mbali (route ya Dar to Morogoro, route ya Arusha to Dar, route ya Mwanza to Dar, route ya Dar to Tanga etc).

Kitu kimoja kilichonisitua ni uoneshaji holela wa video show kwenye mabus bila kuzingatia maadili ya nchi yetu. Sinema zenye kuonesha mambo ya mapenzi na ngono na zile zenye kuonesha mauaji ya kutisha zinaoneshwa holela tu bila kujali tofauti za umri wa abiria.

Kuna abiria wanaokuwa wanasafiri na watoto wadogo au na watoto wao wakubwa au wakwe. Kwenye baadhi ya mabus, wameenda hatua mbele zaidi, wanao esha sinema kutoka west africa zilizoondolewa sauti za lugha ya kiingereza na kuwekewa sauti zao kwa kiswahili, sinema hizi zinahamasiaha ngono. Sinema hizi ni aibu tupu.

Naiomba serikali ifuatilie jambo hili, hizi video za kwenye mabus ni aibu tupu!
kweli mkuu.

ushauri wangu:
kama kuna ulazima, aina ya movie hizi itengewe eneo maalumu (partitioning) ili msafiri mwenyewe wakati wa kukata tiketi afanye maamuzi ya kutumia hiyo partition au vipi.
 
Katika kipindi cha mwezi huu nimekuwa na safari nyingi za kutembelea mikoa mbali mbali (route ya Dar to Morogoro, route ya Arusha to Dar, route ya Mwanza to Dar, route ya Dar to Tanga etc).

Kitu kimoja kilichonisitua ni uoneshaji holela wa video show kwenye mabus bila kuzingatia maadili ya nchi yetu. Sinema zenye kuonesha mambo ya mapenzi na ngono na zile zenye kuonesha mauaji ya kutisha zinaoneshwa holela tu bila kujali tofauti za umri wa abiria.

Kuna abiria wanaokuwa wanasafiri na watoto wadogo au na watoto wao wakubwa au wakwe. Kwenye baadhi ya mabus, wameenda hatua mbele zaidi, wanao esha sinema kutoka west africa zilizoondolewa sauti za lugha ya kiingereza na kuwekewa sauti zao kwa kiswahili, sinema hizi zinahamasiaha ngono. Sinema hizi ni aibu tupu.

Naiomba serikali ifuatilie jambo hili, hizi video za kwenye mabus ni aibu tupu!
Nimesafiri mara kwa mara dar-iringa- mbeya mpaka mpanda,wakianza na Rose Mhando, akija shusho ni mpaka kitou Cha kula,wakiweks sinema utabireka zaidi,sauti kama mabanda ya sinema.
Watumishi wa rika tofauti,Mawazo tofauti wengine kwa Imani zao wasingependa kuangalia,labda serikali inaweza ingilia Kati,ni shiiida.
 
Kuna Uzi uliwekwa zamani baadhi ya watu walitoa povu sana na kupinga ingawa kila mtu ana mawazo yake.
Kwa kweli inakera sana kuna abiria wa kila aina humo wengine wagonjwa na hata wengine wamefiwa wakienda kuhani na dereva wala hajali ndio kwanza anaongeza sauti.

Halafu hakuna basi hata pause ni safari nzima kelele
Tubadilike na kukemea hili kwa nguvu zote.
Maadili yazingatiwe
 
.....Unalala tena? Huo ndo muda mzuri wa kusoma vitabu na kujiongeza, kama unasoma good book waweza hata kusahau hizo movies zao.
Tatizo sauti kama mabanda ya sinema uswazi, hawezi soma wanaoweza lala nawasifu.
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom