Kwa mfano wewe wakikusanya data zako zitawasaidia nini mkuu?Nadhani wote tumeona madhara makubwa yaliyoletwa na Warusi kupitia Facebook katika uchaguzi wa Marekani na matatizo makubwa yanayoikumba hiyo kampuni kwa sababu hiyo.
Lakini hapa kwetu wanakusanya data zetu kupitia so called "promosheni" za Facebook Free bila hata ya kutuambia wanachokusanya na siku hizi hakuna hata option za kujitoa unaingia tu Facebook unakutana na ujumbu wao kuwa ni bure, hii sio bure! Wanakusanya data zatu nyingi sana kwa kushirikiana na hii mitandao bila kuweka uwazi wowote, kitu ambacho sio sawa.
Vyombo vya serikali vichukue hatau haraka kabla hatujapata madhara makubwa.
wanaenda kutumia kwenye biashara na kuhuza taarifa zako kwenye makampuni makubwa taarifa zako kama namba ya simu,eneo unaloishi,email na mengineyo mengi tuKwa mfano wewe wakikusanya data zako zitawasaidia nini mkuu?
₩#¥Sisi tusiokuwa facebook tunakomentia wapi
Kwahyo wewe ulitaka upewe pesa na facebook au serikali wazuie?wanaenda kutumia kwenye biashara na kuhuza taarifa zako kwenye makampuni makubwa taarifa zako kama namba ya simu,eneo unaloishi,email na mengineyo mengi tu
Nadhani wote tumeona madhara makubwa yaliyoletwa na Warusi kupitia Facebook katika uchaguzi wa Marekani na matatizo makubwa yanayoikumba hiyo kampuni kwa sababu hiyo.
Lakini hapa kwetu wanakusanya data zetu kupitia so called "promosheni" za Facebook Free bila hata ya kutuambia wanachokusanya na siku hizi hakuna hata option za kujitoa unaingia tu Facebook unakutana na ujumbu wao kuwa ni bure, hii sio bure! Wanakusanya data zatu nyingi sana kwa kushirikiana na hii mitandao bila kuweka uwazi wowote, kitu ambacho sio sawa.
Vyombo vya serikali vichukue hatau haraka kabla hatujapata madhara makubwa.
Huku kwetu haina effect yoyote. Data zangu kwenye biashara zitawasaidia nini na uwezo wa kununua kitu huko FB sina.Nadhani wote tumeona madhara makubwa yaliyoletwa na Warusi kupitia Facebook katika uchaguzi wa Marekani na matatizo makubwa yanayoikumba hiyo kampuni kwa sababu hiyo.
Lakini hapa kwetu wanakusanya data zetu kupitia so called "promosheni" za Facebook Free bila hata ya kutuambia wanachokusanya na siku hizi hakuna hata option za kujitoa unaingia tu Facebook unakutana na ujumbu wao kuwa ni bure, hii sio bure! Wanakusanya data zatu nyingi sana kwa kushirikiana na hii mitandao bila kuweka uwazi wowote, kitu ambacho sio sawa.
Vyombo vya serikali vichukue hatau haraka kabla hatujapata madhara makubwa.
Siongelei data unazopost facebook tu, naongelea data wanazozifahamu kampuni yako ya simu kwa mfano Vodacom wanazoweka kushare na Facebook i.e. namba yako, namba unazopiga, upo wapi (location), unatembelea tovuti gani zengine etc. Kama nilivyosema hawapo wazi wanashare kitu gani kwa hiyo ni vigumu kujua data hizo ni zipi.Je na wale ambao wamefungua acount lakini hawajaandika chochote au kurushia chochote wanazipataje hizo data
Sijasema nipewe pesa wala wazuie, cha muhimu ni wachunguze ni data gani wanapeleka huko na nini madhara yake kwa taifa, kisha hizi kampuni zilazimishwe kuwa wazi ni data gani wanakusanya na wanafanya nazo nini. Pia kuwa na njia rahisi kwa watu kukataa kuingizwa kwenye mfumo huo, isiwe automatic.Kwahyo wewe ulitaka upewe pesa na facebook au serikali wazuie?
AhahaahaKwa mfano wewe wakikusanya data zako zitawasaidia nini mkuu?
Ndio hapo sasa mkuu kama data zangu mimi zitawasaidia nini aseeee labda yale machura ninayoyadownload kwenye site zaoAhahaaha
Sure mkuuu ...
Mfano wewe zero iq zioe porno unazocheki zitawasaidia nn atii
utalii may beNdio hapo sasa mkuu kama data zangu mimi zitawasaidia nini aseeee labda yale machura ninayoyadownload kwenye site zao
Ndo hapo uelewa mdogo unapoleta madhara. Hauhitaji kuwa na facebook ili facebook waweze kukusanya data zako, kwanza rafiki yako yoyote mwenye facebook anaashare data kuhusu wewe na facebook kwa kuwa wanaweza kupata access ya namba anazopiga na adressbook yake kama una app yoyote ya Facebook. Pia unapotembelea tovuti yoyote iliyoweka like button za facebook au comment system ya facebook zote hizi zinatumika kunyonya taarifa kuhusu wewe, facebook wana "shadow profiles" kwa mtu yoyote ambaye amewahi kutembelea site za namna hiyo na hana account ya facebook.Sisi tusiokuwa facebook tunakomentia wapi