Serikali iangaze suala la Mavazi Makanisani

Ndugu zangu poleni kwa majukumu

Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Wiki kadhaa zilizopita nilifanikiwa kuwa katika mkoa wa Manyara wilaya ya Babati mjini. Baada ya kusikia matangazo mengi kwenye radio flani zikitangaza kanisa la Nabii Mayco ambae yuko mtaa wa Sido mpya.

Tulijipanga kwenda kuona maajabu yanayotangazwa kwenye Radio. Baada ya kufika pale kanisani tulichokiona mhhhhhhhh. Nathubutu kusema Dress code ya waimbaji sio njema.

Nguo zao zimewashika maumbo yao kiasi kwamba huwezi angalia mara mbili. Serikali iangaze swala la mavazi makanisani.
Sasa mkuu hilo la vazi, wange vaa magauni malefu na majoha .....linge saidiaje kumaliza umasikini, maradhi, na ujinga ambavyo ndo adui kubwa kwa wananchi.....tatizo cc waTznia ni wanafiki tunajifanyaga watakatifu sana mbele za watu eti tumeshika dini, eti tunasikitika tukiona mtu kava mbano....wakati tuna zini tumezaa watoto wengi nje....wadhulumaji tena hasa mapadiri wanadaiwa paka basi.
 
Na wachungaji waangazie suala la mavazi bungeni.
 
Manabii wa sasa hawawezi kukemea hilo kwa kuwa wengi wapo kibiashara zaidi.

1. Neno kidogo la jujuu
2. Tiba mbadala
 
Ndugu zangu poleni kwa majukumu

Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Wiki kadhaa zilizopita nilifanikiwa kuwa katika mkoa wa Manyara wilaya ya Babati mjini. Baada ya kusikia matangazo mengi kwenye radio flani zikitangaza kanisa la Nabii Mayco ambae yuko mtaa wa Sido mpya.

Tulijipanga kwenda kuona maajabu yanayotangazwa kwenye Radio. Baada ya kufika pale kanisani tulichokiona mhhhhhhhh. Nathubutu kusema Dress code ya waimbaji sio njema.

Nguo zao zimewashika maumbo yao kiasi kwamba huwezi angalia mara mbili. Serikali iangaze swala la mavazi makanisani.
Siyo kazi ya gvt hiyo mkuu,ni kanisa lenyewe kuweka by-laws
 
kwa babati hata ukiwavisha kaniki bado waweza kwama tu! ni visu si mchezo ila wanampenda Yesu!
 
Ndugu zangu poleni kwa majukumu

Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Wiki kadhaa zilizopita nilifanikiwa kuwa katika mkoa wa Manyara wilaya ya Babati mjini. Baada ya kusikia matangazo mengi kwenye radio flani zikitangaza kanisa la Nabii Mayco ambae yuko mtaa wa Sido mpya.

Tulijipanga kwenda kuona maajabu yanayotangazwa kwenye Radio. Baada ya kufika pale kanisani tulichokiona mhhhhhhhh. Nathubutu kusema Dress code ya waimbaji sio njema.

Nguo zao zimewashika maumbo yao kiasi kwamba huwezi angalia mara mbili. Serikali iangaze swala la mavazi makanisani.
Kuna makanisa usipovaa kimini hauingii na pia ukumbuke ya makanisa wasiyovaa chochote!
 
Ni nafasi yangu ya kiufalme ni ngum, Ila kwa mtu mwenye kipaji cha Nongo ayse pale kuna watoto duuuu!!! Siunajua wabinti wa ki Iraq
Hahahahah wewe jamaa vipi, kwani nani kakwambia shetani huwa haendi kanisani
 
Kuna makanisa usipovaa kimini hauingii na pia ukumbuke ya makanisa wasiyovaa chochote!
Malaya na wahuni wote huwa wanaenda msikitini na kanisani. Kwa hiyo hilo sio ajabu
 
Ndugu zangu poleni kwa majukumu

Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Wiki kadhaa zilizopita nilifanikiwa kuwa katika mkoa wa Manyara wilaya ya Babati mjini. Baada ya kusikia matangazo mengi kwenye radio flani zikitangaza kanisa la Nabii Mayco ambae yuko mtaa wa Sido mpya.

Tulijipanga kwenda kuona maajabu yanayotangazwa kwenye Radio. Baada ya kufika pale kanisani tulichokiona mhhhhhhhh. Nathubutu kusema Dress code ya waimbaji sio njema.

Nguo zao zimewashika maumbo yao kiasi kwamba huwezi angalia mara mbili. Serikali iangaze swala la mavazi makanisani.
Hayo ndio maajabu uliyoyaona? Mbona hutuambii habari njema ila habari ya mavazi? Je? Somo ulilielewa au ulilewa na mavazi?
 
Hayo tayari ni ma clubs kama maisha club n.k nachoshauri serikali iwape leseni za kuendesha clubs zao rasmi
 
Back
Top Bottom