Serikali iandae hati maalumu kuwakamata & kuwarejesha nchini wahalifu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu na Godbless Lema

Wewe ndo mshenzi usiyeji ongeza kuwajua washenzi wanaochafua nchi yao huko nje kwa washenzi
Mimi sijasikia mtu kaiponda Tanzania ila nasikia kinachosemwa na hao watu ni utawala wa kiimla usiozingatia sheria. Sasa hapo huwezi kunidanganya kwamba wameichafua nchi, acheni unafiki.
 
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Wahalifu wakubwa ni waliohujumu uchaguzi,walioapisha covid 19 kuwa wabunge wa viti maalum,na kunyang'anya haki za watu kwa sababu ya siasa,hao ndiyo wahalifu wa nchi ni siyo hao wazalendo wanaokemea uovu.
 
Wewe ndo mshenzi usiyeji ongeza kuwajua washenzi wanaochafua nchi yao huko nje kwa washenzi
Wanaichafua nchi au wanawachafua viongozi wa ccm walio iba Kura zetu.

Tofautisha Kati ya nchi na serikali.
 
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Haha ha! Eti viva Rais Magufuli?
Haya tumekusikia!
 
Back
Top Bottom