Serikali iandae hati maalumu kuwakamata & kuwarejesha nchini wahalifu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu na Godbless Lema

Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
ote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.
Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Mimi ninafikiri itafika mahali tuache kuwa wafuasi vipofu na wasiokuwa na uwezo wa kufikiri na kuchambua. Tanzania ni kubwa kuliko Lisu na hao waliyo tajwa. Tanzania ni kubwa kuliko Magufuli. Lakini kitendo cha kutaka kumkamata kila mbaye hakubaliani na wengi, au hakubaliani na Magufuli tutajaza magereza yetu. Kama mtu anaeneza uongo huko nje, kwa nini tuhangaike naye. Nchi haiwezi kuchafuliwa na watu watatu/wachacha kwa uongo usio wa msingi. Wengi tunajuwa hao waliyotajwa siyo wakimbizi wa siasa bali ni wakosa ajira za kisiasa.

Mimi sioni sababu ya kuwakamata. Kila mtu ana uhuru wa kujiita mimbizi, na kama atapewa ukimbizi wa siasa basi muiache akae huko alikochagua. Mimi nimewa kuitwa kutafsiri kwenye maombi ya mkimbizi wa siasa msichana wa Kisukuma. Yeye anadai aliikimbia TZ kwa kulazimishwa kukeketwa na wazazi wake. Huyu alipewa ukimbizi. Kazi yangu ilikuwa kutafsiri/ukalimani. Nilitafsiri nikamaliza na kulipwa. Ila kweli sababu aliyotoa kuomba ukimbizi ilikuwa ya uongo kwa sababu Wasukuma hawakeketi.

Kwa hiyo hao waliyokimbia, ni lazima wajitahidi kuipaka matope TZ ili waweze kukubaliwa kupata ukimbizi na hatimaye wa nchi husika. Watu kama ho huitwa wakimbizi wa kuchumi na siyo kisiasa. Ndiyo maana wakisha pata ukimbiza huomba uraia na kuendelea kuishi huko. Mimi sipingani nao kuhusu kuomba ukimbizi maana sasa kilichobaki ni hicho. CHADEMA haina uwezo wa kuwalipa. Kazi hawana au hawataki kutafuta. Itakuwa rahisi kukimbilia nje na kuanza kuishi maisha ya "saidia masikini", lakini nje hiyo sharti iwe Ulaya, Marekani, Canada, Australia, New Zealand au Scandinavia. Kwa nini siyo Rwanda, Burundi, au Congo. Mbona wakimbizi wa siasa toka hizo nchi wamejaa kwetu. mbona hata Kenya kinakuwa kituo cha kupitia tu.
 
Haka jamaa kanaangika utazani kamke kalicho achwa,kama wewe kidume siukawakamate,majambazi mlio yafuka mnashindwa kuyakamata ,hadi mengine yameanza huko Arusha kushambuliana hamuoni .na bado mtauwana ameanza kiongozi wa wilaya kushambulia madiwa hadi mtasema nani alimpiga tindulisu,
 
Kwa nini tusiwafuate huko huko sisi wenyewe badala ya kuhangaika na warrant za interpol? Kama kagame anaweza kuwafuata huko huko wazabazabina, sisi tunashindwa nini? Tukianza na wale waliopo hapa jirani kaskazini itatuma ujumbe wa muhimu kwa hao wengine.
 
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Haina haja na wala haitawezekana hiyo Interpol haitaweza kuwakamata na kuwarudisha nyumbani kwa sababu wao ni wakimbizi wa kisiasa. Kumbuka pia Serikali yenyewe ilimwacha Tundu Lissu kuondoka Airport kwa makaratasi yetu na gamba letu. Serikali kama ingetaka si ingemyang'anya gamba letu? Ninavyo jua mimi gamba ni letu na sio mali yake.

Kitu ambacho serikali inatakiwa kukifanya ni kutotambua hati zao za kusafiria na kuwafuta kabisa kuwa ni raia wa Tanzania. Kwa hali hiyo hata wakitupakaza matope kiasi gani. Wajue kuwa wao na familia zao hawatakanyaga hii nchi hata iweje.

Kama Trump anamzuia Makonda na familia yake wasiingie Amerika, kwa nini sisi tusiwakane watu walio tusaliti? Kuna mtu atatulazimisha sisi kuwa kubali wao kuwa ni raia wa nchi yetu?

Sijui na sina uhakika kama inawezekana serikali yetu kuwaomba hao jamaa waturudishie vitabu vyetu ili wakae kwa amni huko waliko. Na kama hawataki basi tunaufuta uraia wao. Kuna sheria inatuzuia?

Nakumbuka serikali ya Austria ilimyang'anya Anold Schwarzenegger uraia wake alipokuwa governor wa California na kutoa idhini ya kuuawa kwa mmarekana mweusi.

Mimi binafsi nilichukia sana sana wakati wa kampeni uchaguzi mwaka jana Rais Magufuli alipo mruhusu Tundu Lissu kuingia nchini na kumwacha agombee Urais kwa ticket ya CHADEMA. Sikupendezewa kusema kweli. Nami najua fika Rais Magufuli ndiye aliye ruhusu hayo. Saa nyingine Rais wetu anajiona yeye kama Mungu mtu vile! Au Yesu wa Tanzania.

Ni kweli, mimi binagsi naumiza sana kusikia watu kama akina Lissu na hao wengine uliowataja wanatumia vyombo au mitandao ya kimataifa kutoa uongo kuhusu Rais wetu na serikali yake, lakini wizara, mabalozi wetu nje na watumishi wa serikali wenye mamlaka wamekaa tu kimyaam, wala hawashughuliki hata na wao kuvitumia hivyo vyombo au mitandao yao kukanusha uongo wao.

Hiyo ni nini? Ni uoga au ndiyo conspiracy ya watumishi wa serikali dhidi ya Rais wetu?

Rais Magufuli nina kuomba sana tena sana waambie watumishi wako husiki wawe wanawajibu majitu haya. Sio kila kitu lazima kifanyike kidiüplomasia wakati mwingine wanatakiwa udiplomasia wauweke pembeni na watumie nji za jungle. Kama wao ni wanyama basi wajue kuwa sisi nasi ni wanyama mara tatu zaidi.

Na kama haitoshi sidhani kama akina Lissu na Ngurumo huko wanakoishi wana ulinzi wa anga. Science ya liquified hydrogen na oxygen gases na technology ya drones inaweza kirahisi kuwamaliza hao watu huko waliko. Yaani walivyo kuwa wajinga hata science na technojia zilizopo duniani hawaziju. Wao wanafikiri wakijua mambo ya sheria na uhandishi wa habari ndiyo wanajua kila kitu. Aisee!

Mimi niwasihi tu kuwa washukuru sisi watanzania hatuna utamaduni huo wa kuuana wenyewe kwa wenyewe kama kuku. Tungekuwa na roho za akina Bin Laden na Taliban, mbona hivi sasa tungekuwa tunazungumza mambo mengine?

Ningewaomba hao wasaliti waiangalie hii Documentary kuhusu hao watu wanao wasujudu na kushirikiana nao jinsi walivyo na wanavyoendelea kutusulubu sisi kwa ujinga wa mambo wanayo yafanya dhidi ya race yetu. Wanajua kweli hao watu wanacho kifanya dhidi ya race yetu?
 
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Haina haja, utakamata wangapi?!
Achana nawo, wacha wale fursa, kasheshe ni pale watakaporudi...
 
..sijaona kosa lao. sanasana naamini wao ndio wamekosewa.

..wasaliti na wanaoichafua Tz ni waliomshambulia Lissu, walioondoa ulinzi area D siku anashambuliwa, na waliowatuma na kuwalipa magaidi waliomshambulia Lissu.
 
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli

Wahalifu wameiba nini?😂 wenzako wana chanjo wewe endelea kuota tu
 
Kwa faida ya WanaJF tujuze maana ya Uhalifu.
Yesu alifundisha kwa mifano nasisi ngoja tukupe mifano ili uelewe maana ya uhalifu.

1. Aliyemuuwa Ben ni mhalifu.
2.Aliyemuuwa Azory ni mhalifu.
3.Aliyempiga Lissu risasi ni mhalifu.
4.Aliyemuuwa lwajabe ni mhalifu.
5.Aliyemuuwa mawazo ni mhalifu.
6.Aliyesababisha akwilina kuuwawa ni mhalifu.
7. Aliyeiba kura ni mhalifu.
8. Aliyeuwa watu na kuwatupa baharini ni mhalifu.
9. Anaetumia pesa za umma bila kupitia bungeni ni mhalifu.
10. Aliyekwapua 1.5 trillion hazina ni mhalifu.
11. Anaekataza chanjo kwa watanzania ni mhalifu.

Juu ya haya yote wanakimbilia mbele za altare ya Mungu wakijiapiza kinafiki huku wakiomba waombewe wakati nyuma ya migongo Yao wameficha majambia.
Ya kashogi mmeyaona na kuyasikia bado ya Ben Azory na Tundu Lissu.
 
Hujui hata maana ya neno Uzalendo. Unafikiri Uzalendo ni kuunga mkono serikali inayotawala bila ridhaa ya wananchi. Bogus kabisa.
 
Unaweza ukatoa mfano japo mmoja ambapo Dunia iliwahi kufanyia kazi mawazo ya mwendawazimu?
 
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Kwa mtazamo wangu, kama nikisikia mtu ananizushua sehemu kuwa mimi ni mwizi, tapeli, mzinzi, mlevi au jambo jingine baya lolote, siwezi kuumia wala kukasirika, hasa ninapoamini kuwa kwa yote hayo yanayosemwa kuhusu mie ni uongo.

Kwa maana hiyo basi, serikali hasa viongozi wetu wa ngazi za juu hawapaswi kuumia eti kwa baadhi ya watu kusafiri nje ya nchi na kusema kuwa Tanzania kuna ukandamizwaji wa demokrasia, kuna ukikukwaji mkubwa wa haki za binadamu, kuna ufisadi na rushwa. Kinachotakiwa hapa wala serikali isitumie nguvu kubwa kuwaaminisha kuwa vitu hivyo vinavyoongelewa ni uongo, wanachotakiwa kufanya ni kuwaonesha kwa vitendo kuwa:-
1. Demokrasia ipo na si kivuli cha demokrasia
2. Hakuna ukikukwaji wa haki za binadamu
3. Hakuna ufisadi wala suala la rushwa nk.

Kimsingi wale si wahalifu, onesheni kwa vitendo yote wanayosema kama ni maovu juu yenu, hizo nchi wahisani na mashirika rafiki yaone kabisa kuwa mpo sahihi ila wao ndio waongo na wachonganishi
 
Nakwambia safari hii Yanga lazima tubebe kombe. Na ndo mtajua hamjui. Kipigo pia kinawasubiri siku hazigandi mjue... Msifurahie sana Jioni inapoingia....mtakuja nambia.
 
Acha upumbavu, hangaikia maisha yako na ya wanao waweze kupata mlo wa siku . Wale ni raia huru wanaongea mawazo yao kwenye nchi ambazo viingozi wao wamepevuka kiakili
Achana naye. Anahangaikia uteuzi ili yeye na watoto wake wapate pakushika. Huyu si mzalendo bali mhangaikaji.
 
Huyo "mimacho" anajua nini?
Wewe kwa uelewa wako hakuna lisilo la kawaida lililofanywa na huyo mpendwa wako dhidi ya watanzania wengine wasio mkubali?
Je, uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba ulikuwa miongoni mwa chaguzi "safi, halali na wa haki" kwa kadri ya uelewa,dhati na upeo wako? Acha unafiki ili upate mkate wako. Muogope Mungu ili uje upate thawabu. Mpendwa wako ni binadamu tu kama wewe anayesubiri hukumu siku ya kiama kama wengine!
 
Fungueni kwanza mahakama ya ufisadi mliyoahidi muwaburuze mijizi iliyomo CCM kuanzia EPA had Dowans
 
Nadhan umeongea kinyume mana inawatandika kweli mpaka mkaamua kukiri kuwa mdudu yupo
Corona inatosha itamalizana nao huko waliko sababu wameifuata wenyewe haikuwaandikia barua kuwa njooni

Wakaondoka wenyewe nchi tusiovaa barakoa wakaenda kwenye Corona kwa wavaa barakoa
 
Jamii yetu ina mambo mengi ya msingi yanayopaswa kupewa kipaumbele katika majadiliano ya platform kubwa kama hii jf,zaidi ya uoga kama huu uuletao hapa wewe mtoa mada.mnalisha jamii mambo ya kukamatana,kuhojiana,woga,kuabudu watu n.k badala ya kuchochea mijadala ya uchumi,elimu etc.aibu kabisa hii!
Kwanini hamjibu hoja zao na badala yake mnaishia kuwaza kuwakamata?!wanabinya korodani zenu nini?!
Mambo ya kukamata watu yalifanywa na serikali nyingi tu,lakini hakuyapa airtime iwe daily discussion,maana hayana tija kwa jamii.Nyinyi mnataka iwe mapambio kama mnaabudu Mungu,this is wrong.
Hebu tupe details za hujuma wafanyazo hao unaowasema utoe mfano mmoja hapa tuujadili kama kweli ni hujuma au ni wewe pekee mwenye mtazamo huo juu ya normal criticism sababu ya mahaba yako tu.
 
Back
Top Bottom