Serikali iandae hati maalumu kuwakamata & kuwarejesha nchini wahalifu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu na Godbless Lema

Vipi aliyeondoa walinzi getini siku Lisu alipopigwa risasi alishajulikana? Angalau tujue akija atakuwa salama.
Hivi mtu alipigwa risasi halafu ikawa marufuku kumwombea uliona wapi kama siyo Tanzania pekee?
Huenda hili ndiyo shetani lenyewe lililoshiriki kwenye lile shambulio, na sasa limeanza kuwehuka.
 
Mtoa mada mbona umemsahau kuweka namba ya simu walau pengine Kuna kanafasi ka uteuzi Mzee baba akuone
 
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Vipi hujaweka CV na contact zako , unaweza ukapewa nafasi alowacha Bashiru.
 
Serikali ipi ? Hii hii iliyoiba kura mchana kweupee huku watanzania wakishuhudia? ama unasemea ipi ndugu? Hii hii inayonuka damu za watu wasio na hatia?

Serikali hii iliyo madarakani kwa nguvu ya dola...ni ya kuisemea ati kuwakamata wazalendo watetezi wa sheria na haki na binadamu.. be serious my friend!!

Watu wameamua kukaa kinya tu ila wanajua kila jambo lilivyofanyika!!
 
Umeshalipwa buku saba zako?

Unapimaje kiwango Cha uzalendo? Uhalifu wao ukoje?

Washughulikieni wahalifu walipo haribu uchaguzi mkuu, Kura feki, tume feki ya CCM, walioiba pesa huko chato, pesa zilizotumika kujenga kiwanja Cha ndege chato zilipitia Bunge gani? Manunuzi ya ndege yalipitiwa na Bunge?

Ujenzi wa standard gauge na hydroelectric power kule mto ruhaa nani amepitisha bajeti?

Je haya hayagharimu nchi yetu?

Uchaguzi ulikuwa huru na haki.
 
Serikali ipi ? Hii hii iliyoiba kura mchana kweupee huku watanzania wakishuhudia? ama unasemea ipi ndugu? Hii hii inayonuka damu za watu wasio na hatia?

Serikali hii iliyo madarakani kwa nguvu ya dola...ni ya kuisemea ati kuwakamata wazalendo watetezi wa sheria na haki na binadamu.. be serious my friend!!

Watu wameamua kukaa kinya tu ila wanajua kila jambo lilivyofanyika!!

Serikali ya awamu ya tano ipo madarakani kwa kuchaguliwa kihalali na Wananchi kupitia Uchaguzi huru
 
Vipi aliyeondoa walinzi getini siku Lisu alipopigwa risasi alishajulikana? Angalau tujue akija atakuwa salama.
Hivi mtu alipigwa risasi halafu ikawa marufuku kumwombea uliona wapi kama siyo Tanzania pekee?

Taarifa ya kuondolewa Walinzi umeipata wapi?! Unaweza kutoa ushahidi kuthibitisha madai yako?

Tafakari
 
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Washughurikieni kwanza walioharibu uchaguzi
 
Vyote ulivyoongea vinaweza kuwa sahihi kabisa, lkn hapo mwisho umeharibu umeonyesha kuna upande umeegemea .

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Naaaaa, hakuna kitu. These are commonplace riff-raff, leave them alone. James Bond ipo, but why waste it? Ngoja iwachape baridi wafe na covid, hivi punde mabeberu watapunguza budget linakuja libiden halina hela za kuchezea.
 
International Arrest Warrant hutolewa pale tu nchi husika waliopo wao au international agency kama Interpol itajiridhisha kuwa madai ya Serikali hii yanakubalika kutokana na mikataba mbalimbali ya kimataifa k.v. Ya haki za binadamu.
Hao watu hawana kosa lolote lile la jinai zaidi ya sababu za kisiasa.
Kwa hiyo, haitawezekana.
 
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Lissu ni rais wa watanzania.
 
Mkuu pamoja na kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli, lakini ukiwa mjinga usifikiri duniani wote ni wajinga kama wewe.
 
Leta ushahidi ni wapi katukanwa, siyo hadithi za kufikirika za kwako, Beberu hawezi kumkamata mtu kwa hisia bila ushaidi wa kina wa kumtia mtu hatiani.
 
Sawa kwani lazima muandike humu.Simuwakamate tu kwani sisi tunazuia nini au tulishqzuia kitu.Hao waliokamatwa si wanapewa mashtaka mkiamua yanafutwa nk.Ila Mungu atakapoanza kuwa hakim wenu msilalamike kwani dunia na.mudq hausimami. Hata 2025 hamfiki
 
Back
Top Bottom