CUF iambie pia serikali ya swahiba wako CCM inachene na matumizi mengine ambayo ni ya anasa mfano:
- posho za tshs. 200,000 za kikao cha bunge
- magari ya anasa ya serikali aina ya 'mashangingi"
- safari nyingi za mh. Rais ambazo hazihijiwi na bunge, mkaguzi mkuu wa serikali
- uanzushwaji wa mikoa, wilaya kwa ajili ya kuwapatia 'washkaji' wa CCM vyeo
- tiba nje ya nchi badala ya kuwekeza ktk mahospitali yetu nchini ili kila raia apate huduma bora za afya
-mikataba mibovu na 'wawekezaji' toka nje
n.k n.k