Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

Anataka watu walogane ku-create nafasi maana successor atakuwa anajulikana.

Anataka watu walogane ku-create nafasi maana successor atakuwa anajulikana.

Kiongozi anachaguliwa na wananchi,alafu ukikubali democrasia usiogope gharama.mtatiro kichwani kimba kichwani

Akili za chama cha kavu ni masaburi na wivu @its best!!

We we we

CCM watafanya faulo , mahakama ikitengua matokeo wanateua mwingine kilaini

Ina maana mlivyomkuza Rashid si ungeridhi ww hata kwa mabavu?kila wiki atafukuzwa mbunge ili mrithishane,hili hapana mtatiro.

Kama uchaguzi ni wa haki sawa, lakini uchaguzi si wa haki bali wizi wizi

Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro ameitaka serikali kuachana mara moja na chaguzi ndogo kwani ni kutapanya hela za walipa kodi bure.

Mtatiro amesema serikali inapaswa kupitisha sheria kwamba anapokufa mbunge sharti arithiwe kutoka chama kile kile bila kufanya uchaguzi upya.

Akizungumzia uchaguzi wa Arumeru alisema CCM ilipaswa kumteua mrithi bila kufanyika uchaguzi.

Mtatiro alitoa mfano wa nchi za Msumbiji na Ghana kwamba zinafuata mfumo huo.

Source: MWANANCHI

Kuna thread hapo juu inahoji nani ana akili ndogo kati ya Nepi na Mtatiro!
Huu ni ushahidi wa akili ndogo mno ya mtatiro!

Ndugu zangu nimesoma uzi huu nami nichangie mambo kadhaa
(1)demokrasia ina gharama zake na moja ya gharama ndo hizi
(2) mbunge ambae ni muwakilishi wa jimbo akichaguliwa kwa kuteuliwa na chama hana legitimacy kwa wale anao wawakiliha
(3) ukisema mshindi wa pili achukue nafasi hapo kuna tatizo kubwa kwa maana ikumbukwe mshindi wa pili si wa kutoka chama alichotoka mshindi wa kwanza.yahani mfano sumari alikuwa ccm kafariki wa pili achukuliwe chadema automatically haiwezekani
(4) tukisema wawe na wagombea wenza ili likitokea lolote mwenza ashike tutaleta janga la kuwa tuna zika wabunge kila siku.tumeshuhudia ubunge unavyotafutwa kwa gharama kubwa mpaka watu wanamwagiwa tindika je si hawa wenza watakuwa na kazi za kuwauwa wabunge ili washike hatamu!!!!
(5) wabunge watakuwa more controled na chama maana any time wanakufukuza alafu wanateua mbunge mpya kwisha kazi ni tofauti na sasa ukimfukuza uchaguzi na mwaweza kupoteza jimbo

my take utaratibu huu wa kurudi kwenye kiringe uendelee.mtatiro sijui hili wameona walipenyezee kwako au ni lako?

Mtatiro vp wewe,kweli ndye,akili matope kiasi hiki.dah!!!,HATARI SANA....

mbona hakusema hayo baada ya uchaguzi wa igunga ameona leo cdm wanainyonyoa ccm?

Ni changie kidogo katika uzi huu.
(1) mbunge akichaguliwa na chama bila wananchi kwa ujumla hana legitimacy katika jimbo
(2)tukisema mshindi wa pili achukue ubunge iwapo likitokea lolote haiwezekani kumbuka kila chama kina kuwa na mgombea mmja sasa inakujaje alishinda ccm mfano sumari then afariki chadema wachukue nafasi automatically?
(3)tukisema wawe na wagombea wenza ili likitokea lolote huyu mwenza ashike hatamu hamuoni tutakalibisha janga la kuwa tunawazika wabunge kila siku maana ubunge tumeona ukitafutwa kwa gharama kubwa hata kwa tindikali hamuoni hawa wenza watakuwa wanafanya kazi ya kuwaua wabunge ili wao washike hatamu?
(4)hamuoni sasa wabunge watakuwa wanawajibika zaidi kwa chama na si wananchi kwa maana kwamba husipofanya yenye kupendeza chama unafukuzwa tu na chamakinaleta mbunge mwingine maana sasa hivi chama kikifukuza wanalazimika kurudi kwa wananchi kidogo kunakuwa na hofu ya kupoteza jimbo

my take demokrasia iana gharama zake na gharama ndo hizi hatuwezi kuepuka

Kweli chaguzi ndogo ni gharama kwa nchi masikini kama tz.

My take:
Mbunge au diwani akifa au akifukuzwa uanachama basi jimbo liendeshe na mkurugenzi wa halmashauri na kata iongozwe na afisa mtendaji.

Suala la kurithishana jimbo na kata,mtatiro fikra zake zimefikia ukomo na anaelekea kuwa kilaza kama goli ra

HII NI HATARI SANA KWA SABABU ZIFUATAZO
(1) TUKISEMA MSHINDI WA PILI ACHUKULIWE HAIWEZEKANI KWA MAANA KAMA MSHINDI WA KWANZA ALIKUWA CCM MFANO MAREHEMU SUMARI ALAFU CHADEMA KWA KUWA WALIKUWA WA PILI WACHUKUE JIMBO AUTOMATICALLY NI NGUMU MAANA VYAMA NI TOFAUTI
(2)TUKISEMA WAWE NA WENZA ILI LIKITOKEA LOLOTE MWENZA ASHIKE HATAMU NI HATARI ZAIDI WABUNGE TUTAKUWA TUNAWAZIKA KILA LEO HAO WENZA WATAWAUWA ILI WASHIKE HATAMU!KWANI HATUONI JINSI UBUNGE UNAVYO TAFUTWA KWA NGUVU KUBWA HATA KWA TINDIKALI?
(3)MBUINGE WA JIMBO AKITEULIWA NA CHAMA TU BILA WANANCHI HATOKUWA NA LEGITIMACY JIMBONI
(4)WABUNGE WATAKUWA WANAWAJIBIKA CHAMANI ZAIDI KULIKO KWA WANANCHI MAANA UKITOFAUTIANA NA CHAMA WANAKUFUKUZA NA KULETA MBUNGE MPYA.AFADHALI SASA HIVI MAANA CHAMA KIKIFUKUZA WATARUDI JIMBONI NA WANAWEZA POTEZA JIMBBO
(5KUNA WATU WATATUMIKA KAMA VYAMBO UNATAFUTA USHINDI UNASHINDA CHAMA KINAKUFUKUZA NA KULETA CHAGUO LA CHAM

MYTAKE DEMOKRASIA INAGHARAMA YAKE MTATIRO NA GHARAMA NDO HII

Kama ikipitishwa sheria ya kurithishana Wabunge wa CCM watalogana hadi mwisho wa terms zao watakuwa 75% wamekuwa replaced. Maana kama ni rahis tu kumwua mtu urithi watashindwa nn na wao kila siku wapo kwa waganga Bagamoyo?

Mtatiro...ujasiri wako wa UDSM umeishia wapi? Mbona umekuwa kilaza hivyo siku hizi? Au ulivyokamatwa kwenye mgomo kuna sindano ya uzezeta ulidungwa?

Demokrasia ina gharama zake.

Hivi ni Mtatiro yule aliyekuwa mpiganaji pale UDSM miaka michache tu nyuma au ni Mtatiro mwingine? Au tayari keshalishwa ule unga maarufu kama unga wa ndere? Jamani ndugu yangu Mtatiro kwa nini kujishushia hadhi kwa kauliu tata kama hii? Uwe makini na njia ikuongozayo. Unawezajikuta umefika usikokujua. Mtafute Mrema akushauri kungali mapema!!!

Back
Top Bottom