hata mkikuambia huwezi kunisaidia serikali ya ccm imefilisika kabisa pesa zimeliwa na wezi wenzako ccm
Kuna watu humu hautakiwi kuwajibu lolote kama unauthamini muda wako,wana akili timamu lakini wameamua kujichetua ili kuendesha maisha yao wangekuwa hawana mabwana wanao watumikia usinge waona ktk kila uzi,asubuhi,mchana,jioni na usiku wapo tu kutetea mabosi wao wanao waweka mjini kupinga kila jambo ndio ajira yao nashangaa wanaoshindana nao
wakati wa nyerere hatuhusu sisi tupo kwenye huu utawala wa shetani wa JK pesa escrow mmekula zote halafu dhaifu anakuja kusema pesa za escrow siyo za umma ni za IPPTL inahuzunisha raisi kutetea wezi wakati nchi ina hali mbaya kifedha acha kutumika kama toilet paper kutetea uovu wa ccm.
Tunataka mishahara yetu,mwaka mpya tutauanza vp?
Mapenzi uliyo nayo kwa Kikwete ni zaidi hata ya Salma. Au wewe ni nyumba yake ndogo nini?!
Tujikumbushe hii
Hebu cheki Raisi wenu
anavyodadavuliwa huko nje!
Richard Brunwick
Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic African leaders of our times. He is a peacetime leader for a country known to be one of the richest in the world in terms of natural resources, yet he leades the world with begging. Foreign companies have known Tanzania to be a free land in which you can go in and take all you can without being asked a question. I really don't get the mind set of its leaders especially their prsident Mr. Kikwete, a Muzungu worshiper. Having worked with the UNDP in that country for 8 years, I realized how inneficient and corrupt the country's leadership is. His ministers that requested bribes from BAE have never been tried despite the damning evidence against them. British TAX payers must stop funding this man's corruptin and foreign trips. His human rights record is horrible. Mr. Kikwete had no business of going to Davos to ask for foreign aid. Already his country is the world third leading foreign Aid dependant nation. He should be embarassed to say to the world that people are poor. His people living "hand to mouth " is his own is own ignorance and stupidity.That is hiw own problem, Brits are having their own problems he must realize that. We cant bankroll his foreign trips. He should make good use of his country's wealth. Instead of letting his corrupt officials and foreigners loot his country, he needs to think before letting himself be a global loughing stock. I read in one of the regional (kenyan) publication the mockery nature related to his frequent foreign trips. Palestinian, Haiti, Lebanon, Somalia and even Rwanda economies are more robust that of Tanzania. We must question the nations that welcomes this "Joker's" request for AID. He needs to be on a "no-fly" list so he can be serious. Hopefully the billionaires questions what he has done with the Money he has received for decades. The Arab spring should turn into the African summer and get rid of the Kikwete likes.
Linda Croucher;
This man did not deserve to be a head of state. He has no credibility. How can a head of state be bribed suits? We must write Downing Street and our parliament, and let them know that Aid to some of these african countries ought to STOP. nyerere the founding president of tanzania was a visionary even though his socialist policies failed, but he was a nationalist and a true patriot.
Kenya, Rwanda, Ghana have seen far and are on the roll to economic dependence. Kikwete, and his chrony of rulling elites getting richer and richer. These people have no electricity yet the country has so many dams and rivers. There should be a policy to bar all corrupt leaders and their children from stepping into the EU.
I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering. We just dont need them to come for Aid. We have many Brits out of work, and that money should pay for their Unemployment Benefit.
African problem is more than foreign aid. They are not ready for economic transformation. In Tanznaia today, they have started the leadership inheritance in which the old guards passess on the torch to their children. we should not expect anything serious from African nations. If it means our money, lets cut it off. We have so many social problems to deal with people's own created misery
because they will never have free elections without someone stffing ballot boxes and ready to let the whole country in flames as long as they remain in power and their children in top american and british schools
Alta Vista1
The issue with Tanzania president is not a British issue or a global issue. It is a Tanzania voters issue. They have let this man continue with corruption and impunity. Those in diplomatic circles especially in the US state department are privy of the matter and very disgust with Kikwete. He is not a serious leader and the chatter in Washington about his endless lavish foreign trips is not flattering. He is an embarrasment to his country and african leaders
He has literally sold h [truncated by WhatsApp]
Miezi 6 ikipita bila misaada ya nchi wahisani bila shaka Kikwete atatamani kukimbia nchi au kujiuguza busha lingine ili apate sympathy ya wananchiKafulila yupo Star tv muda huu amethibitisha kuwa serikali ipo hoi kifedha na imewasimamisha wakandarasi, anasema TRA inakusanya jumla ya sh. bilioni 800 Kwa mwezi, mishahara kwa wafanyakazi wote kwa mwezi ni Sh. bilioni 500 inabaki bilioni 300 ambapo hiyo bado mafuta ya magari, matengenezo; kununua karatasi maofisini nk.
Uhoi kifedha unaujuwa wewe? muulize Mzee Ali Hassan Mwinyi, au ziwachieni hotuba zake za awali alivyolalamika kwenye hotuba yake ya mikuki miwili, jinsi alivyoachiwa hii nchi na Nyerere.
Senti mbovu ya nje hakuna benki. Mafuta hakuna. Magari hayatembei. Cha kukila hakuna, frame za maduka panya tu na mende wanakimbizana, huko ndiyo ilikuwa kufilisika.
Leo mna neema, mnakwenda kuchaguwa mnunuwe unga gani wa kupika, mchele gani wa kula Krismasi, Beer gani ya kunywa.
Ilipokuwa nchi hii imefilisika wakati wa Nyerere mngeweza hayo?
Wacheni uongo.
Wewe pesa zilizowekwa escrow zilikuwa zako? kama una hamu nazo si weka mitambo ya kufuwa umeme na wewe uwe na zako. Unashindwa nini?
Wakati wa Nyerere ndiyo tulifilisika. Kwa hiyo tuliyokuwepo ukija na porojo za kijinga tunakukumbusha, kuwa sasa hivi upo kwenye neema. Unaweza hata kuingia JF ukabwabwaja kuhusu serikali uwezavyo hakuna hata kuulizwa.
Thubutu wakati wa Nyerere uyaweze hayo. huku una njaa ya kufa unaambiwa "kaza mkanda". Na huwezi kusema kwi.
Watu walikufa hovyo mahospitalini, vijijini ndiyo usiseme, vyakula hamna, mabarabara mabovu, kuhama huwezi. Elimu watu hawana, dhiki kila sehemu, halafu leo mtu yupo nyuma ya keyboard analeta ubi-show wa kusema ujinga humu.
Kuna taarifa kutoka serkalini kuwa serikali ipo hoi kifedha na imewasimamisha wakandarasi wote waliokuwa wanangojea fedha ili waendelee na kazi na wale wote waliokuwa site wakiendelea na kazi ili kukwepa riba, hivyo serikali ipo kwenye mazungumzo na bank ya CRDB ili kukopa Bilioni 900 Tshs. Vile vile mishahara kwa watumishi wake imekuwa tabu sana hivyo serikali kulazimika kukopa pesa toka mabank mbali mbali nchini ikiwemo NMB ili kulipa mishahara.
Athari za Acc. ya Escrow ya TEGETA ni kubwa sana kuliko RAIS alivyolidanganya TAIFA kuwa athari zake si kubwa.
Nashindwa kuelewa. Naomba wajuzi wa haya mambo wanieleweshe zaidi.
Hivi hizo pesa kenye akounti ya escrow zinasababishaje nchi kwenda mrama.?
je hata kama zisingechotwa...zingekuwepo bado, ingehalalisha kutolewa kwake ili zije kuziba haya mapungufu??
Kafulila yupo Star tv muda huu amethibitisha kuwa serikali ipo hoi kifedha na imewasimamisha wakandarasi, anasema TRA inakusanya jumla ya sh. bilioni 800 Kwa mwezi, mishahara kwa wafanyakazi wote kwa mwezi ni Sh. bilioni 500 inabaki bilioni 300 ambapo hiyo bado mafuta ya magari, matengenezo; kununua karatasi maofisini nk.
Nikusaidie kwenye uongo, huko kweli siwezi kukusaidia. kama ni mfanyakazi na saa hizi upo JF ina maana wewe ni mwizi wa mali ya umma, hufai hata chembe.
Nchi ilifilisika wakati wa Nyerere, umeshawahi kula ugali wa Yanga wa msaada kutoka watu wa Merekani?
Kuna taarifa kutoka serkalini kuwa serikali ipo hoi kifedha na imewasimamisha wakandarasi wote waliokuwa wanangojea fedha ili waendelee na kazi na wale wote waliokuwa site wakiendelea na kazi ili kukwepa riba, hivyo serikali ipo kwenye mazungumzo na bank ya CRDB ili kukopa Bilioni 900 Tshs. Vile vile mishahara kwa watumishi wake imekuwa tabu sana hivyo serikali kulazimika kukopa pesa toka mabank mbali mbali nchini ikiwemo NMB ili kulipa mishahara.
Athari za Acc. ya Escrow ya TEGETA ni kubwa sana kuliko RAIS alivyolidanganya TAIFA kuwa athari zake si kubwa.