Dont go away
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 501
- 208
Labda kama tuna matatizo mengine, fedha zilizozuiliwa na wafadhili, sio ile General Budget Support kupitia Busket Funding, ni development budget, hivyo zile sio fedha za kulipia mishahara!. Hata fedha za MCC pia sio fedha za kulipia mishahara!.Kuna taarifa kutoka serkalini kuwa serikali ipo hoi kifedha na imewasimamisha wakandarasi wote waliokuwa wanangojea fedha ili waendelee na kazi na wale wote waliokuwa site wakiendelea na kazi ili kukwepa riba, hivyo serikali ipo kwenye mazungumzo na bank ya CRDB ili kukopa Bilioni 900 Tshs. Vile vile mishahara kwa watumishi wake imekuwa tabu sana hivyo serikali kulazimika kukopa pesa toka mabank mbali mbali nchini ikiwemo NMB ili kulipa mishahara.
Athari za Acc. ya Escrow ya TEGETA ni kubwa sana kuliko RAIS alivyolidanganya TAIFA kuwa athari zake si kubwa.
Mpaka October mwakani si ajabu deni la Taifa linaweza kabisa kufikia trilioni 50.
Deni la Taifa sasa ni janga la Taifa - Kolamu - mwananchi.co.tz
we jamaa inaonesha uko kwenye kampeni maalum!
mzee akakope majuu
Naamini hata Mh Rais ameshajua kuwa Watz wamemchoka,na yeye Bila shaka hii Hali inamnyima raha Ila Ndio afanye nini kwani mashambulizi toka kwa raia na msingi mbovu wa utawala aliouweka unamfanya ashindwe kujua pa kuanzia,ninachoomba Watz wezangu hata kama tunataka hii chama iparanganyike lkn tumuombee Mh Rais amalize salama na asije kufanya maamuzI ya ajabu zaidi na kuligharimu Taifa kwani hasara itakuwa yetu sote.......
Labda kama tuna matatizo mengine, fedha zilizozuiliwa na wafadhili, sio ile General Budget Support kupitia Busket Funding, ni development budget, hivyo zile sio fedha za kulipia mishahara!. Hata fedha za MCC pia sio fedha za kulipia mishahara!.
Kama ni kweli Watumishi wa umma wamekosa mishahara, then tuna tatizo kubwa kuliko tunavyo jidhania!.
Pasco.