Serikali haiwaoni machangudoa wa Sinza?

Serikali haiwaoni machangudoa wa Sinza?

Kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram kuna matangazo ya biashara ya umalaya, yaani wanatangaza utafikiri ni biashara ambayo imehalalishwa na wala sijasikia Serikali kulikemea jambo hili, utafikiri huwa hawapitii kwenye hii mitandao na wakati huo huo wiki iliyoisha kuna wasanii walifungiwa nyimbo zao zisichezwe kwenye vyombo vya habari kwa vile hazipo katika maadili ya kitanzania.

Sasa na hao wanaojiuza (live) ni halali kufanya hivyo?

Naombeni ufafanuzi
Twende mahakamani kutafuta ufafanuzi wa jambo hili mkuu..au unasemaje?
 
Kuna wazee ndani ya serikali wanachukua mizigo pale.
 
TR
Kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram kuna matangazo ya biashara ya umalaya, yaani wanatangaza utafikiri ni biashara ambayo imehalalishwa na wala sijasikia Serikali kulikemea jambo hili, utafikiri huwa hawapitii kwenye hii mitandao na wakati huo huo wiki iliyoisha kuna wasanii walifungiwa nyimbo zao zisichezwe kwenye vyombo vya habari kwa vile hazipo katika maadili ya kitanzania.

Sasa na hao wanaojiuza (live) ni halali kufanya hivyo?

Naombeni ufafanuzi
TRA wameanza kutoa leseni cku hizi...wahi mapema...
 
Siku lazima wote tuende peponi...wengine waache wawe mbuzi wa kafara...
 
Twende mahakamani kutafuta ufafanuzi wa jambo hili mkuu..au unasemaje?
Mkuu!
Peleka kesi ya ngiri kwa nguruwe uone ka itakuwa na maamuzi.
Hiyo ndozo Tiba za wazee, zingine mnawasakizia rushwa ngono lakini hapo wapo shwari.
 
aaah iyo tulia
si twaenda piga shot moja night kwani kuna tatizo??
we lala haa haaa
 
Back
Top Bottom