Serikali haiwaoni machangudoa wa Sinza?

Serikali haiwaoni machangudoa wa Sinza?

hawauzi huwa wanakodisha tu unatumia then unaondoka viungo vyake unamwachia mwenyewe...

alafu suala sio serikali suala ni wateja hata kama serikali itaoambana vipi as long as wateja bado wapo ni kazi bure itatafutwa njia nyingine tu ya kufanya hiyo biashara..

refer-the law of demand and suply

hii biashara duniani kote imeshindikanika kuzuiwa so iache tu iendelee wengine hawapendagi mahusiano wanataka kugegeda kwa kukodisha tu usiwaaribie starehe yao
 
Kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram kuna matangazo ya biashara ya umalaya, yaani wanatangaza utafikiri ni biashara ambayo imehalalishwa na wala sijasikia Serikali kulikemea jambo hili, utafikiri huwa hawapitii kwenye hii mitandao na wakati huo huo wiki iliyoisha kuna wasanii walifungiwa nyimbo zao zisichezwe kwenye vyombo vya habari kwa vile hazipo katika maadili ya kitanzania.

Sasa na hao wanaojiuza (live) ni halali kufanya hivyo?

Naombeni ufafanuzi

Malaya wanazaliwa wapi?
Wanakomazwa na nani kuwa Malaya, umalaya wanajifunzia wapi? .
Why kila kitu serikali?. Njia sahihi thabiti ya kuzuia umalaya ni IPI?
Tuwa - castrate wateja wao?
Wateja wao ni akina nani?.
Mlee mwanao katika njia impasayo, vinginevyo atapasuliwa tu na walimwengu.
Serikali INA kazi nyingi za kufanya, kulinda wanafunzi na other minors wasinyanyasike kingono inawatosha, hao wengine acha wadukuane.
 
Wewe wanakukera nini kama huhusiki na hiyo biashara.Kama si mlevi usifike baa,na kama ni muislam usifike kwenye bucha za kitimoto,hali kadhalika kama si malaya usiwafuatilie wala kufika kwenye anga zao.
 
Ukiwaona wewe inatosha sio lazima mpaka na serikali iwaone
 
Back
Top Bottom