Tena anaweka na vigezo vya elimu wakati yeye std seven.Ukifikisha miaka 30+ unakuja na thread ambayo unatafuta mwanaume mwenye kazi, handsome, mwenye mapenzi ya dhati, mrefu, maji ya kunde na mfunge ndoa.
Nimekuacha
Hahah!!Policcm wa patrol za usiku ndio zao hizo. Policcm wanapenda kitonga hadi mapenzi
Goldie. Una mguu wa nguvuAcha wivu wa kike kila mmoja anatafuta riziki yake.
[emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Ni shida tupu. Wangejua mwenye nguvu ya kuoa ni nani wangekuwa wapole tu. Kuchagua huku ndiyo maana unakuta wengi wamezalishwa (single mothers).Tena anaweka na vigezo vya elimu wakati yeye std seven.
Kwahiyo utaniuzia kwa shilingi ngapi? Ijumaa (jioni)-jpili (jioni).Papuchi atoe mwingine kuumia uumie wewe inahuuuu...
Kila mtu apambane na vyuma vyake
Greasy zimepanda bei mkuu
Usipompenda mtu humpendi tu. Unaweza kumlalamikia kakurushia maji ya mvua wakati wa kiangazi.[emoji12] [emoji15] [emoji28]Policcm wa patrol za usiku ndio zao hizo. Policcm wanapenda kitonga hadi mapenzi