Serikali haiwaoni machangudoa wa Sinza?

Serikali haiwaoni machangudoa wa Sinza?

Kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram kuna matangazo ya biashara ya umalaya, yaani wanatangaza utafikiri ni biashara ambayo imehalalishwa na wala sijasikia Serikali kulikemea jambo hili, utafikiri huwa hawapitii kwenye hii mitandao na wakati huo huo wiki iliyoisha kuna wasanii walifungiwa nyimbo zao zisichezwe kwenye vyombo vya habari kwa vile hazipo katika maadili ya kitanzania.

Sasa na hao wanaojiuza (live) ni halali kufanya hivyo?

Naombeni ufafanuzi
Kwani Ni Washindani Wako Kibiashara?
 
Acha waendelee kujiuza hao ni faraja ya madomo zege wa ufipa.
 
Kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram kuna matangazo ya biashara ya umalaya, yaani wanatangaza utafikiri ni biashara ambayo imehalalishwa na wala sijasikia Serikali kulikemea jambo hili, utafikiri huwa hawapitii kwenye hii mitandao na wakati huo huo wiki iliyoisha kuna wasanii walifungiwa nyimbo zao zisichezwe kwenye vyombo vya habari kwa vile hazipo katika maadili ya kitanzania.

Sasa na hao wanaojiuza (live) ni halali kufanya hivyo?

Naombeni ufafanuzi
We na hiki kijibaridi unaonaje?tuachie vipoozeo vyetu.au unataka tupige punyeto
 
Si support shughuli za akina dada poa ila kwa bahati nzuri huwa hawana tabia ya kumfuata mtu labda kama upo eneo lake ama umemfuata! Wengi wao ni ugumu wa maisha, wengine hulka tu na wengine wana sababu nyingini ikiwemo revenge( visasi ) nadhani na wengine wanatumika na masuala ya usalama ( kazi ) maalum japo ni wachache! Ww mpaka ukawakataze shughuli zao unataka waje kula nyumbani kwako!? Ama una kazi za kuwapatia!? Huku mtaani kuna rundo la wasomi na watu wengi wanao jielewa na kazi hamna
Ulaya wanalipa kodi,chanzo cha mapato ya serikali cha muhimu ni tra kuwapa tin number na kuanza kuwatoza kodi[emoji102] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji125] [emoji125]
 
Unalalamika kama wamekuomba mgawane HIV
Sky!
HIV unaweza kuipata hata kwa mkeo!
We sio mleta nyuzi lakini umelieleza hilo jamaa ropokaji jambo la msingi nikaoona niunganishie hapa.
Wana jamvi wengi wamrlizomea lakini mi naona hili jamaa limetoka vijijini juzu na hakuna mahali limeenda.
Hiyo ndio Globalization....maendeleo ya dunia kila bidhaa muhimu ipatikane popote!
Mkate unanaenda kwa Bakhresa **** uende wapi? Cha msingi Malaya wasi search watu waendelee na mzigo.
Nrb, Kla, Kgl, Msa, Jbg, Harare Luna makubwa kuliko Sinza! Akiona Huyo zumbukuku wetu atakufa! Sababu hata wasenge wamejaa na wanaku approach.
 
Kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram kuna matangazo ya biashara ya umalaya, yaani wanatangaza utafikiri ni biashara ambayo imehalalishwa na wala sijasikia Serikali kulikemea jambo hili, utafikiri huwa hawapitii kwenye hii mitandao na wakati huo huo wiki iliyoisha kuna wasanii walifungiwa nyimbo zao zisichezwe kwenye vyombo vya habari kwa vile hazipo katika maadili ya kitanzania.

Sasa na hao wanaojiuza (live) ni halali kufanya hivyo?

Naombeni ufafanuzi
Kwan wakiuza mwili ww inakuuma nn....? Acha wafanye wanachopenda
 
dunia inawahitaji makahaba,kuliko makahaba wanavyoihitaji dunia.....
kuwa mpole tuu....

malalamiko yako ni sawa na kumtunuku maua mfu ukijua kabisa hawezi kuyanusa.....
 
Mkuu
Wewe ni Shakespeare msamiati wako ni mzuri.
Ahsante
 
biashara ya umalaya ndio biashara kongwe kuliko zote humu duniani.ni wenye akili za kina bashite tu ndio wanaoweza kuikataa.
naishia hapa
 
Makuu
Uko sahihi!
Mini kilimgeuza mkee was Nabii Lutu kuwa Chumvi?
Alitaharuki kwamba anaacha madanguro yake mahali alikuwa anazoa pesa kama uchafu kwa kuuza malaya!
Sasa hawa watu wengine wasema nini! Wamelal?
 
Ulaya wanalipa kodi,chanzo cha mapato ya serikali cha muhimu ni tra kuwapa tin number na kuanza kuwatoza kodi[emoji102] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji125] [emoji125]
Na wawe na cheti cha kuonesha afya zao.
 
Nilikoma siku nilipomkuta graduate wa IT tena Masters anadanga. Na alishanidengulia sana mchana ofisini kwake. Ilikuwa ni kumsukuma mlevi.
 
Kwani wakoje? Hebu weka picha tuwaone?
 
Watu Wanapambana Na Hali Zao Halafu Wewe Unakuja Kuwaharibia Sasa Unataka Wakale Wapi
 
Kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram kuna matangazo ya biashara ya umalaya, yaani wanatangaza utafikiri ni biashara ambayo imehalalishwa na wala sijasikia Serikali kulikemea jambo hili, utafikiri huwa hawapitii kwenye hii mitandao na wakati huo huo wiki iliyoisha kuna wasanii walifungiwa nyimbo zao zisichezwe kwenye vyombo vya habari kwa vile hazipo katika maadili ya kitanzania.

Sasa na hao wanaojiuza (live) ni halali kufanya hivyo?

Naombeni ufafanuzi

Wateja wakubwa wa pale ni viongozi wenyewe serikalini....wakifungiwa machangu wa pale hawa viongozi wetu uchwara watakwenda kuwashikisha ukuta kina nani? Kumbuka, kabla ya kuoa hawa viongozi walipitia maisha ya ujana na walishiriki ujinga kibao.....kwa hiyo kuacha kushikisha machangu ukuta hawatoacha kamwe.
 
hebu niperuzi huko insta labda naweza kupata papuch la wikiend
 
Back
Top Bottom