Serikali haiwaoni machangudoa wa Sinza?

Serikali haiwaoni machangudoa wa Sinza?

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
909
Kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram kuna matangazo ya biashara ya umalaya, yaani wanatangaza utafikiri ni biashara ambayo imehalalishwa na wala sijasikia Serikali kulikemea jambo hili, utafikiri huwa hawapitii kwenye hii mitandao na wakati huo huo wiki iliyoisha kuna wasanii walifungiwa nyimbo zao zisichezwe kwenye vyombo vya habari kwa vile hazipo katika maadili ya kitanzania.

Sasa na hao wanaojiuza (live) ni halali kufanya hivyo?

Naombeni ufafanuzi
 
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji100][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Si support shughuli za akina dada poa ila kwa bahati nzuri huwa hawana tabia ya kumfuata mtu labda kama upo eneo lake ama umemfuata! Wengi wao ni ugumu wa maisha, wengine hulka tu na wengine wana sababu nyingini ikiwemo revenge( visasi ) nadhani na wengine wanatumika na masuala ya usalama ( kazi ) maalum japo ni wachache! Ww mpaka ukawakataze shughuli zao unataka waje kula nyumbani kwako!? Ama una kazi za kuwapatia!? Huku mtaani kuna rundo la wasomi na watu wengi wanao jielewa na kazi hamna
 
Back
Top Bottom