ndenjii handsome
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 647
- 704
Nchi ngumu hii shehekwnya ukame mkubwa sana hadi ngombe wamekufa..kwanini mahindi hayanunuliwi
Umeuza bei gani mkuu kwa gunia moja?Baada ya kusikia serikali imetoa billioni50 kwa ajili ya manunuzi ya maindi
Nikaona huu ndio wakati muafaka wa kuuza nikajaza howo zangu tatu mzigo kupeleka kwenye kitengo....
Kilo 450Umeuza bei gani mkuu kwa gunia moja?
Unavyo jibu kama ubongo umeiweka pembeba okota kwanzahuo ubongoUnaota au? Nani kafunga mipaka wewe? Ni hivi hakuna soko hata nchi jirani mahindi yako mengi na pande hizo..
Jamaa visingizio kibao mara ulitumia mbolea sasa walitaka itumike hewa yaani wanaudhi sana.Punje ni ndogo haukupalilia mahindi yako vizuri.Anaupiga mwingi sana!
Poleni wakulima wa Mahindi wa Tanzania.
Mwaka huu nasikia kuna makampuni yananunua Soya kupeleka katika Soko la China.
Ulizieni hayo makampuni yanapatikana wapi ili mlime soya na kuyauzia.
Mimi nilishaachana na biashara ya Mahindi.
Kitambo sana.
Biashara ya kuteseka kulima bila kujua unauza wapi.
Ujue hakuna mnunuzi hapo. Serikali kwa miaka mingi imeshindwa kutafuta soko la mahindi na haisemi.Ni maajabu kulima nilime mimi bila ruzuku yoyote halafu mimi huyohuyo niandike barua ya maombi ili kuuza mazao yangu utahisi nimeiba bana hapana