Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Naiomba Serikali husika kuzibomoa Nyumba zote zilizopo kwenye bonde la Jangwani kwani zimekuwa ndio Makazi ya wavuta madawa ya kulevya, Na wezi.
Nyumba hizo ni zile zilizokumbwa Na mafuriko Na wahusika kuhamishiwa mabwepande. Nyumba hizo ziko karibu Na Klabu ya Yanga Na huku Mapipa.
Tunaiomba Serikali izibomoe Nyumba hizo kama ilivyozibomoa zile za mkwajuni.Wezi hao wamekuwa wanapora watu usiku Na alfajiri has a wanaoenda Muhimbili kuona wagonjwa.