Manispaa ya Ilala itabomoa lini nyumba zilizopo bonde la Msimbazi ambazo ni makazi ya wahalifu?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Nashindwa kufahamu kwanini Uongozi wa Manispaa ya Ilala hauzibomoi nyumba zilizopo Bonde la Msimbazi Jangwani. Eneo hill limekuwa Hatarishi kutokana na kuendelea kuwepo kwa vijana wavuta bangi na madawa ya kulevya kuzitumia nyumba hizo kufanya biashara hizo na kutumia madawa hayo.

Ninajiuliza kwanini Manispaa haizibomoi nyumba hizo? Tunaiomba Serikali Kuu iingilie kati ili kutunusuru wapita njia hasa nyakati za alfajiri na usiku.
 
Back
Top Bottom