Serikali: Biashara 16,252 zafungwa na 147,818 zafunguliwa kwa kipindi cha Julai, 2018 hadi Aprili, 2019

Achana na huyu mmk anacommet hivi eti kukomoa chadema
 
Hivi hawa jamaa mbona hawanaga aibu? Kariakoo hapo inakufa,wananchi majalala,, apecha,alolo.
kama chanzo cha biashara hizo zilikuwa pesa za madawa ya kulevya na ukwepaji kodi bandarini ni sawa zikifa.
 
Hiyo nayo ni hoja. Tathmini ya thamani za hizo biashara ikoje kwa maana ya ukubwa: ukubwa wa mitaji, idadi ya nafasi za ajira, nk. Kama inahesabu mashine ya kusaga nafaka kuwa ni kiwanda, ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni!
 
Hii aina tofauti na mfanyabiashara aliyefunga biashara kariakoo kisa apati wateja kwa kuwa wafanyabiashara wadogo wadogo watano wapo mbele ya frem yake. Na waziri anasimama na kuutangazia umma kuwa imefungwa biashara moja na zimefunguliwa tano. Hii tunaita sarcasm. Anyway tusubiri
 
Ninachoshangaa anafunga yule mama andanganya na swaum yake hana chembe ya woga.... Kuna watu wafungaji hewa
 
Automatically ajira zimeongezeka karibia mara 9 . Kwa takwimu hizo. Safi sana
 
Ukifinga kiwanda cha mabilioni na kuanzisha vya kushona vyerehani 100 za kuweka viraka na kupinda khanga hapo bila shaka hesabu ya waziri itatimia
 

M7 Na PK wale udikteta wao upo kwenye kuwataka wakuachie kiti hakuna Rangi utoacha kuiona,wale ni wajanja awakupewa Leseni Kwa makaratasi waliisotea porini,wanajua kucheza Na akili ukitaka kudumu madarakani usiwasomeshe no watu wako wasiwe Na njaa Na PILI usiguse maslai ya mabeberu watakumwagia misaada hata udikteta wako awatouona,ili ukigusa maslai ya mabeberu Na ukisomesha namba watu wako lzm utaondoka tu madarakani. Ug Rwanda biashara zinaenda wananchi wanapata riziki zao.Shida ya students awafati mafundisho ya walimu wake,anafanya ligi Na yeyeto si beberu si watu wake.Thus yatamtokea puani,amewashika mabeberu mkono thus wanamnyoosha.
 
Tangu awamu ya makinia ipewe leseni hadi sasa ajira zilizoongezeka ni uchuuzi umachinga wa vitu toka China Kwa faida ya uchumi wa China ndio iliyoongexeka.Tabrikani biashara rasmi laki 3 yaani ofisi zimefirisika sababu ya sera za kimasikini za Kusomesha watu no ili waishi kama mashetani,hizi zimehusu sekta zote kuanzia Kilimo,viwandani,maduka ya pesa,mahoteli,ujenzi,malori,mabus,biashara za mabenki usafirishaji utoaji huduma nk sababu ya kodi komozi.Hivo tabribani watu million 3 hawana ajira sekta binafsi.Hawa ndio walikuwa wachangiaji wakubwa wa mapato ya kodi tokana Na mishahara, mifuko ya jamii,kodi za halmashauri,taasisi zingine mfano Sumatra,TFDA,Leseni ya udereva, Na Tozo mbalimbali.Hivo nadharia ya Kusomesha watu no ni kupungua idadi ya walipa kodi.At the end aliyesomesha watu no ndie aisomae Kwa sasa,maana Kanuni ya no ni wote lzm muisome.Sie zamu yetu tulimalixa kuisoma wamechukua kila kitu hatuna tena uwezo wa kulipa kodi tumefirisika nao hawana vyanzo vya kodi baada ya sie kufirisika,tegemeo lao kuu ni kupata kodi toka barabarani askari wamekuwa sawa Na watoza ushuru. Uchumi sio kemia kila MTU angebaki kwenye fani yake tusingefika huku
 
Kabisa mkuu hasomi harama za nyakati sasa we muache atakubali show.
 
Safi sana serikali - mwendokasi huo ni balaa
Ila huku vilio vimetawala - fedha zimekata kbs
 
Ndiyooo niliyasema juzi..mtu anasema "biashara zinafungwa" tunamuuliza kulinganisha na nini na lini? Chegeni (au mwingine) anachoweza Ni kuoneshwa takwimu zinazopingana na hizi za serikali
Unatetea ujinga upate kubebwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…