Mbowe ni shujaaHii kesi ya Mbowe inakata kotekote kwa Mbowe na serikali pia.
Samia amemharibia Mbowe kwenye
- Mbowe yupo ndani kwa Bogus terrorism charges
- Mbowe ana biashara zake ndani na nje, kuwa kwake ndani Kuna Mambo hayaendi kwenye biashara zake.
- Ni mwenyekiti wa chama kikubwa nchini, so kuwa kwake ndani Kuna Mambo ya chama yatakwama.
Mbowe amemharibia Samia kwenye.
- upande wa Kimataifa, Samia haaminiki tena, ata alipoenda US, na kuomba kukutana na Biden au Kamara, alikataliwa kwa sababu ya Kesi ya Mbowe, na mengine.
-Samia amepata aibu Sana kasikazini,, juzi Kilimanjaro watu walikuwa wachache Sana, utadhani ni mkutano wa Diwani, Arusha ndo husiseme watu hawakuwa na time naye, hakuna watu waliopoza muda wao eti kwenda kwa Samia,,,sababu kuu ni Mbili, Mbowe na maisha kuwa Magumu.
- ukilinganisha ushawishi wa Samia before Mbowe's arrest and after arresting utagundua kuwa kabla ya Mbowe kukamatwa Kuna watu walikuwa wanamuunga mkono Samia, Ila baada ya kumpa kesi za kijinga watu hao wamemchukia Sana, so amepoteza ushawishi.
Conclusion, CCM kesi ya Mbowe mnashindwa muifanyeje, kumfunga mnaogopa, kumwachia mnaogopa,, na mkimwachia atakuja na Moto hatari,, mkimfunga kwa sababu ni ugaidi , hukumu ni kunyongwa, je mna ubavu wa kumnyonga?
Hii kesi Ni mwiba mchungu kwenu hamchoki![]()
Hatutaki msamaha kwa ushahidi wa Kingai na Mahita, eti wamtie hatiani, mkimtia hatia hukumu ni kunyongwa, wamnyonge sio msamaha![]()
Arusha ni Tanzania mkuu....Mnajipendekeza ndo maana nyomi ya chekechea .....watu tunapiga bia tu
Amepata aibu kubwa Sana asa Arusha
Nilikuwa na Imani na Samia, angalao kwa 70% lakini kuruhusu Serikali yake ifanye ubambikiaji, nimemshusha mpaka 50% kwa kuamini tu kuwa alidanganywa na akina Siro, otherwise ningempa 30% credit.Yaani na Mimi nilimpenda Samia, Ila kupitia hii kesi sitaki ata kumsikia
Hivi huwa unasomaga comments zako kabla ya kujibuKimataifa hachafuki huko usemako....
Hivi unazijua vyema Sera za mambo ya nje ya nchi za magharibi?!!!
Wangechafuka Taliban....hivi huoni kuna nguvu kubwa mno kuwasafisha Taliban kunakofanywa na Marekani ?!!!
Hujiulizi kwanini?!!
Hushangai ni kwanini?!!!
Hivi kufungwa kwa matukio ya ugaidi ya VICTOIRE INGABIRE na RUSESABAGINA kumeichafua Rwanda na El Comandante Paul Kagame?!!!
Kumeiathiri nini Rwanda?!!
Wawekezaji hawaendi/hawatokwenda?!!
Itatengwa na Marekani na washirika wake?!!!
Je hapo kwa El Comandante Museveni?!!!!
WAKATI MWINGINE MNAJITENGENEZEA HOFU ISIYOKUWEPO KIUHALISIA BALI TU VICHWANI MWENU🤣🤣
Tanzania ina Mwenyezi Mungu
Tanzania Ina marafiki akina "Tony Blair" 🤣
SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin🙏
NCHI KWANZAView attachment 1979550
Mwanambate wazobaga sana 🤣🤣Hilo jitu la nini lifungeni tu kwani lincsa faida gani?
Usihangaike na Chawa wa watuHivi huwa unasomaga comments zako kabla ya kujibu
Cathelin acheni kuokoteza vijimaneno kwenye mitandao ya jamii hasa Twitter/Space ya Maria Sarungi. Mnaposema Samia alikataliwa kuonana na Joe Biden na Kamala Harris naomba mtuwekee hapa kivuli cha barua ya Serikali ambayo Ikulu walimuombea Samia kuonana nao.Hii kesi ya Mbowe inakata kotekote kwa Mbowe na serikali pia.
.
Mbowe amemharibia Samia kwenye.
- upande wa Kimataifa, Samia haaminiki tena, ata alipoenda US, na kuomba kukutana na Biden au Kamara, alikataliwa kwa sababu ya Kesi ya Mbowe, na mengine.
-
Atapaa vipi politically? Kwanza inajuwa hukumu yake itaishaje? Kwa mfano akiwa banned kujishughulisha na shughuli za kisiasa?Ki-uchumi wamemuharibia "temporarily"'; ila wamemupaisha sana ki-siasa "permanently". Mbowe has more to gain socially than losing in this controversy. CCM have carelessly dug their own grave.
Wanazingua sana hawa machawaUsihangaike na Chawa wa watu
Naendelea kuwaza kwa sauti!Nchi hii haitaki mpinzani msumbufu sana kwa Serikal yake.
Vijana wamezoea maneno, hawajui Siasa za Dunia ni wa kuwapuuza.Kimataifa hachafuki huko usemako....
Hivi unazijua vyema Sera za mambo ya nje ya nchi za magharibi?!!!
Wangechafuka Taliban....hivi huoni kuna nguvu kubwa mno kuwasafisha Taliban kunakofanywa na Marekani ?!!!
Hujiulizi kwanini?!!
Hushangai ni kwanini?!!!
Hivi kufungwa kwa matukio ya ugaidi ya VICTOIRE INGABIRE na RUSESABAGINA kumeichafua Rwanda na El Comandante Paul Kagame?!!!
Kumeiathiri nini Rwanda?!!
Wawekezaji hawaendi/hawatokwenda?!!
Itatengwa na Marekani na washirika wake?!!!
Je hapo kwa El Comandante Museveni?!!!!
WAKATI MWINGINE MNAJITENGENEZEA HOFU ISIYOKUWEPO KIUHALISIA BALI TU VICHWANI MWENU🤣🤣
Tanzania ina Mwenyezi Mungu
Tanzania Ina marafiki akina "Tony Blair" 🤣
SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin🙏
NCHI KWANZAView attachment 1979550
Helicopter zinahalalisha tu wizi wa fedha za umma, hakuna adui wa kumlenga Samia toka angani. Adui mkubwa kwake ni waislamu wenzake ambao sherehe ya maulidi ameshindwa kwenda Kagera inakifanyika kitaifa. Asingeweza ruhusiwa kukaa meza moja na wanaume high table.Hela inayotokana na jasho letu (tozo, kodi, n.k.) inatumika visivyo.
Duh! I reserve my comment for now...Mbowe anaweza kupatikana na hatia halafu akapata msamaha wa Raisi.
..kwasababu ugaidi unakaribiana na uhaini, labda tungerejea wahusika waliohukumiwa kwa uhaini wakati wa awamu ya kwanza, walitolewa baada ya kutumikia vifungo vya muda gani.
..Nakumbuka kesi ya mwisho ya uhaini hukumu yake ilikuwa mwaka 1983 au 1984. Na wahusika waliopatikana na hatia walipata msamaha wa Raisi kati ya mwaka 1994 na 1995. Naomba kusahihishwa.
..Nashawishika kuamini kwamba kama Mbowe atapatikana na hatia, basi uwezekano mkubwa ni kutumikia kifungo kirefu, na kupata msamaha wakati Raisi SSH anaondoka madarakani, au kusamehewa na Raisi atakayemrithi SSH.
atasubiri kunyongwa hadi kifo kitakapomkuta - ila kufungwa atafungwaHii kesi ya Mbowe inakata kotekote kwa Mbowe na serikali pia.