Serikali amemharibia Mbowe, na Mbowe ameiharibia Serikali

Tatizo sio hukumu/Adhabu, Suala ni yeye kukutwa na hatia, adhabu anaweza akasamehewa hiyo ipo pia. Suala akisha tiwa hatian je sheria zinamruhusu kuendeleza siasa kwa ukubwa ule? ( kushika nyadhifa mbali mbali?).

Waliomshitaki wanamalengo makubwa zaidi ya adhabu za kisheria kutoka mahakaman. Nchi hii haitaki mpinzani msumbufu sana kwa Serikal yake.
Hatutaki msamaha kwa ushahidi wa Kingai na Mahita, eti wamtie hatiani, mkimtia hatia hukumu ni kunyongwa, wamnyonge sio msamaha
 
Kimataifa hachafuki huko usemako....

Hivi unazijua vyema Sera za mambo ya nje ya nchi za magharibi?!!!

Wangechafuka Taliban....hivi huoni kuna nguvu kubwa mno kuwasafisha Taliban kunakofanywa na Marekani ?!!!

Hujiulizi kwanini?!!
Hushangai ni kwanini?!!!

Hivi kufungwa kwa matukio ya ugaidi ya VICTOIRE INGABIRE na RUSESABAGINA kumeichafua Rwanda na El Comandante Paul Kagame?!!!

Kumeiathiri nini Rwanda?!!
Wawekezaji hawaendi/hawatokwenda?!!

Itatengwa na Marekani na washirika wake?!!!

Je hapo kwa El Comandante Museveni?!!!!

WAKATI MWINGINE MNAJITENGENEZEA HOFU ISIYOKUWEPO KIUHALISIA BALI TU VICHWANI MWENU

Tanzania ina Mwenyezi Mungu
Tanzania Ina marafiki akina "Tony Blair"

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin
NCHI KWANZAView attachment 1979550
Huyo yupo kwenye interest zake/zao na Africa.
 
Cheki taga masikini unawazungumzia Tulban, marekani imetumia 2tr dollars uko Afghanistan, unataka wafanyeje?? mataga tuliza kende
 
Cheki taga masikini unawazungumzia Tulban, marekani imetumia 2tr dollars uko Afghanistan, unataka wafanyeje?? mataga tuliza kende
Kwako hizo 2tr dollars ndio kiasi kikubwa kwao na kushindwa KUENDELEA kutumia hata 1 tr dollars NYINGINE?!!!

Umeamua kujifungia ndani ya BOX na kuridhika tu na majibu hayo mkuu?!!! 🤣🤣🤣
 
Makonda,Ndugai,Nchemba,

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
19059991_1386835601392897_3757162351071440092_n.jpg
 
Kwako hizo 2tr dollars ndio kiasi kikubwa kwao na kushindwa KUENDELEA kutumia hata 1 tr dollars NYINGINE?!!!

Umeamua kujifungia ndani ya BOX na kuridhika tu na majibu hayo mkuu?!!!
Unadhani why hataki kuendelea na vita? Unajua $1tr, Ni bajeti ya Africa nzima kwa miaka 5
 
U
Hii kesi ya Mbowe inakata kotekote kwa Mbowe na serikali pia.

Samia amemharibia Mbowe kwenye

- Mbowe yupo ndani kwa Bogus terrorism charges

- Mbowe ana biashara zake ndani na nje, kuwa kwake ndani Kuna Mambo hayaendi kwenye biashara zake.

- Ni mwenyekiti wa chama kikubwa nchini, so kuwa kwake ndani Kuna Mambo ya chama yatakwama.

Mbowe amemharibia Samia kwenye.

- upande wa Kimataifa, Samia haaminiki tena, ata alipoenda US, na kuomba kukutana na Biden au Kamara, alikataliwa kwa sababu ya Kesi ya Mbowe, na mengine.

-Samia amepata aibu Sana kasikazini,, juzi Kilimanjaro watu walikuwa wachache Sana, utadhani ni mkutano wa Diwani, Arusha ndo husiseme watu hawakuwa na time naye, hakuna watu waliopoza muda wao eti kwenda kwa Samia,,,sababu kuu ni Mbili, Mbowe na maisha kuwa Magumu.

- ukilinganisha ushawishi wa Samia before Mbowe's arrest and after arresting utagundua kuwa kabla ya Mbowe kukamatwa Kuna watu walikuwa wanamuunga mkono Samia, Ila baada ya kumpa kesi za kijinga watu hao wamemchukia Sana, so amepoteza ushawishi.

Conclusion, CCM kesi ya Mbowe mnashindwa muifanyeje, kumfunga mnaogopa, kumwachia mnaogopa,, na mkimwachia atakuja na Moto hatari,, mkimfunga kwa sababu ni ugaidi , hukumu ni kunyongwa, je mna ubavu wa kumnyonga?

Hii kesi Ni mwiba mchungu kwenu hamchoki
Uandishi wako ni ngumu kuelewa una maanisha nini,
Rudia kusoma urekebishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom