Serikali amemharibia Mbowe, na Mbowe ameiharibia Serikali

Serikali amemharibia Mbowe, na Mbowe ameiharibia Serikali

..Mbowe anaweza kupatikana na hatia halafu akapata msamaha wa Raisi.

..kwasababu ugaidi unakaribiana na uhaini, labda tungerejea wahusika waliohukumiwa kwa uhaini wakati wa awamu ya kwanza, walitolewa baada ya kutumikia vifungo vya muda gani.

..Nakumbuka kesi ya mwisho ya uhaini hukumu yake ilikuwa mwaka 1983 au 1984. Na wahusika waliopatikana na hatia walipata msamaha wa Raisi kati ya mwaka 1994 na 1995. Naomba kusahihishwa.

..Nashawishika kuamini kwamba kama Mbowe atapatikana na hatia, basi uwezekano mkubwa ni kutumikia kifungo kirefu, na kupata msamaha wakati Raisi SSH anaondoka madarakani, au kusamehewa na Raisi atakayemrithi SSH.
We jamaa empty set hushaidi wa kina Kingai ndo umtie hatiani Mbowe,,
 
sabaya kaend ndani ili mbowe nae afuate ili waonekane wanafanya usawa lkn kwa mbowe watajuta
 
We jamaa empty set hushaidi wa kina Kingai ndo umtie hatiani Mbowe,,[emoji1

..unazungumza kana kwamba hujui jinsi mahakama zetu zinavyofanya kazi.

..mahakama ni za ccm kwa hiyo wanaweza kumtia hatiani hata kama ushahidi hauna mashiko.
 
We ni muongo sana,unasema juzi watu walikuwa wachache pale chuo cha Ushirika,utakuwa utaoa mbwa wewe
 
Hii kesi ya Mbowe inakata kotekote kwa Mbowe na serikali pia.

Samia amemharibia Mbowe kwenye

- Mbowe yupo ndani kwa Bogus terrorism charges

- Mbowe ana biashara zake ndani na nje, kuwa kwake ndani Kuna Mambo hayaendi kwenye biashara zake.

- Ni mwenyekiti wa chama kikubwa nchini, so kuwa kwake ndani Kuna Mambo ya chama yatakwama.

Mbowe amemharibia Samia kwenye.

- upande wa Kimataifa, Samia haaminiki tena, ata alipoenda US, na kuomba kukutana na Biden au Kamara, alikataliwa kwa sababu ya Kesi ya Mbowe, na mengine.

-Samia amepata aibu Sana kasikazini,, juzi Kilimanjaro watu walikuwa wachache Sana, utadhani ni mkutano wa Diwani, Arusha ndo husiseme watu hawakuwa na time naye, hakuna watu waliopoza muda wao eti kwenda kwa Samia,,,sababu kuu ni Mbili, Mbowe na maisha kuwa Magumu.

- ukilinganisha ushawishi wa Samia before Mbowe's arrest and after arresting utagundua kuwa kabla ya Mbowe kukamatwa Kuna watu walikuwa wanamuunga mkono Samia, Ila baada ya kumpa kesi za kijinga watu hao wamemchukia Sana, so amepoteza ushawishi.

Conclusion, CCM kesi ya Mbowe mnashindwa muifanyeje, kumfunga mnaogopa, kumwachia mnaogopa,, na mkimwachia atakuja na Moto hatari,, mkimfunga kwa sababu ni ugaidi , hukumu ni kunyongwa, je mna ubavu wa kumnyonga?

Hii kesi Ni mwiba mchungu kwenu hamchoki
Hapa tunajifunza kwamba siasa kandamizi zinaua biashara na uchumi 'political repression is a good source of business failure hence a drop in economy, people are busy in courts'
 
Hapa tunajifunza kwamba siasa kandamizi zinaua biashara na uchumi 'political repression is a good source of business failure hence a drop in economy, people are busy in courts'
Kabisa mkuu
 
Kimataifa hachafuki huko usemako....

Hivi unazijua vyema Sera za mambo ya nje ya nchi za magharibi?!!!

Wangechafuka Taliban....hivi huoni kuna nguvu kubwa mno kuwasafisha Taliban kunakofanywa na Marekani ?!!!

Hujiulizi kwanini?!!
Hushangai ni kwanini?!!!

Hivi kufungwa kwa matukio ya ugaidi ya VICTOIRE INGABIRE na RUSESABAGINA kumeichafua Rwanda na El Comandante Paul Kagame?!!!

Kumeiathiri nini Rwanda?!!
Wawekezaji hawaendi/hawatokwenda?!!

Itatengwa na Marekani na washirika wake?!!!

Je hapo kwa El Comandante Museveni?!!!!

WAKATI MWINGINE MNAJITENGENEZEA HOFU ISIYOKUWEPO KIUHALISIA BALI TU VICHWANI MWENU🤣🤣

Tanzania ina Mwenyezi Mungu
Tanzania Ina marafiki akina "Tony Blair" 🤣

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin🙏
NCHI KWANZAView attachment 1979550
Uongozi wa Tanzania haujawahi kuwa na mkono wa Mungu. Taja awamu moja ambazo damu za wasio na hatia hazikumwagika?
Kitendo cha rais kufa akiwa madarakani ni ujumbe tosha.
Samia kulalamika kuangushiwa jumba bovu ni ujumbe tosha hali si shwari.
Uongozi wa nchi hii unasimamiwa na shetani kikamilifu.
 
Uongozi wa Tanzania haujawahi kuwa na mkono wa Mungu. Taja awamu moja ambazo damu za wasio na hatia hazikumwagika?
Kitendo cha rais kufa akiwa madarakani ni ujumbe tosha.
Samia kulalamika kuangushiwa jumba bovu ni ujumbe tosha hali si shwari.
Uongozi wa nchi hii unasimamiwa na shetani kikamilifu.
Mmm
 
Back
Top Bottom