Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,800
Mkuu wewe umwongo kama tumba mbichi....🤣Amepata aibu kubwa Sana asa Arusha
Arusha imepokea mradi wa BILIONI 520 kwa chereko.....
Ulilala toka majuzi ndio unaamka muda huu?!!! 🤣🤣
Siempre JMT
Mkuu wewe umwongo kama tumba mbichi....🤣Amepata aibu kubwa Sana asa Arusha
Uendelee hivyohivyo kufurahia WAFUNGWA.....Tulia Taga ushaenda Kisongo kutoa salama![]()
Hii kesi ya Mbowe inakata kotekote kwa Mbowe na serikali pia.
Samia amemharibia Mbowe kwenye
- Mbowe yupo ndani kwa Bogus terrorism charges
- Mbowe ana biashara zake ndani na nje, kuwa kwake ndani Kuna Mambo hayaendi kwenye biashara zake.
- Ni mwenyekiti wa chama kikubwa nchini, so kuwa kwake ndani Kuna Mambo ya chama yatakwama.
Mbowe amemharibia Samia kwenye.
- upande wa Kimataifa, Samia haaminiki tena, ata alipoenda US, na kuomba kukutana na Biden au Kamara, alikataliwa kwa sababu ya Kesi ya Mbowe, na mengine.
-Samia amepata aibu Sana kasikazini,, juzi Kilimanjaro watu walikuwa wachache Sana, utadhani ni mkutano wa Diwani, Arusha ndo husiseme watu hawakuwa na time naye, hakuna watu waliopoza muda wao eti kwenda kwa Samia,,,sababu kuu ni Mbili, Mbowe na maisha kuwa Magumu.
- ukilinganisha ushawishi wa Samia before Mbowe's arrest and after arresting utagundua kuwa kabla ya Mbowe kukamatwa Kuna watu walikuwa wanamuunga mkono Samia, Ila baada ya kumpa kesi za kijinga watu hao wamemchukia Sana, so amepoteza ushawishi.
Conclusion, CCM kesi ya Mbowe mnashindwa muifanyeje, kumfunga mnaogopa, kumwachia mnaogopa,, na mkimwachia atakuja na Moto hatari,, mkimfunga kwa sababu ni ugaidi , hukumu ni kunyongwa, je mna ubavu wa kumnyonga?
Hii kesi Ni mwiba mchungu kwenu hamchoki![]()
Amepata aibu kubwa Sana asa Arusha
Nionyeshe picha ya mafuriko ya Hangaya Arusha, hatosahau![]()
Yaani unaniuliza swali juu ya swali langu?!!Unadhani why hataki kuendelea na vita? Unajua $1tr, Ni bajeti ya Africa nzima kwa miaka 5
Mwenye faida ni Makonda na Kingai.Hilo jitu la nini lifungeni tu kwani lincsa faida gani?
Ntazidi kufurahia maana Sabaya alitesa Sana watu,narudia ntafurahia Sana kwa watesi wetu kufungwaUendelee hivyohivyo kufurahia WAFUNGWA.....
Nasemaje HUMU NDANI JF uendelee na hulka hiyohiyo.....
Kuna leo na kesho.....
Jela haina MWENYEWE....
Mwenyezi Mungu azidi kutupa afya na uhai mrefu aaamin![]()
Mnajipendekeza ndo maana nyomi ya chekechea .....watu tunapiga bia tuMkuu wewe umwongo kama tumba mbichi....🤣
Arusha imepokea mradi wa BILIONI 520 kwa chereko.....
Ulilala toka majuzi ndio unaamka muda huu?!!! 🤣🤣
Siempre JMT
Jibu hoja twende sawa!Kasikazini Samia amepata aibu ya watu kutokuhudhuria mkutano wake kama mkuu wa nchi?Mkuu wewe umwongo kama tumba mbichi....🤣
Arusha imepokea mradi wa BILIONI 520 kwa chereko.....
Ulilala toka majuzi ndio unaamka muda huu?!!! 🤣🤣
Siempre JMT
Tunapumua safi sanaaa funzo mlipate ninyi chawa wake ambao hamuamiani kama kaenda anaelialia ni nyinyi eti mwamba wa AFRIKA labda ya madikteta vilio vyetu siku zote ni machozi ya furaha kwamba Mungu ametuona na kutuondolea dubwana mwovu yule.Kwani si mnapumua sasa au?
Baada ya mbaya wenu kufariki bado mnalialia tu?
Kila anayemgusa Mbowe, kinachofuata ni majutoSabaya chali, jiwe chali, mwingine anafata chali