Serikali, alikeni Emirates, Qatar Airways waweke temporary Hub JNIA wakati huu wa machafuko

Nodus

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
346
Reaction score
914
Ushauri wa bure kwa serikali,

Ndege nyingi za mashirika ya Uarabuni zimepaki na zinakula hasara kutokana na vita vinavyoendelea, kwa nini msiondoe kodi zenu zenye utitiri mwingi na transit visa fees kisha kualika makampuni haya yaweke hub ya muda hapa Julius Nyerere International Airport?

Tuna airport kubwa ambayo ipo empty muda mwingi na ina capacity kubwa, Hizo airline zina loyal customers wengi duniani, wakifanya hapa kituo cha transit watalii wataongezeka na itasaidia kumitigate kupanda kwa thamani ya dola nchini.

Emirates inaenda nchi karibu zote Africa na kuweka transit Tanzania kata kwa ajili ya Africa pekee itaongeza sana recognition ya nchi na utalii kiujumla.

Cha muhimu ondoeni tozo zenu nyingi kwa abiria zinazofanya usafiri wa anga uwe kama anasa katika nchi hii. Jaribuni kufikiria kibiashara hata kidogo muone opportunities zipo nyinhi kwenye crisis kama hizi.

Kwa wanaosema kwa nini tu tusipromote Air Tanzania? Kwanza ndege bado ni chache na customer base bado ni ndogo, gharama kubwa na matatizo mengi ya airline yetu, lakini kuja kwa airline nyengine kutazidisha safari za ndani na kuongeza brand recongition ya flag carrier yetu.

Anyways ni mawazo tu mnaweza kuamua kutofanya kitu na mwisho wa mwezi mishahara inaingoa tu kwa kuwa wafanyakazi wa serikali.

Tanzania bara mkishindwa basi Zanzibar fanyeni maana nyinyi ndo angalua mpo serious na maendeleo kipindi hiki
 
Wako bize kusafisha jina ila mawazo ya nje hawaoni

Nchinzingine zisipate hii idea
 
Ile inatua DSM mbona? Sema kuihudumia ikiwa ground ndio kasheshe..
Airbus A380 kwa East Africa... Sehemu ambayo wako comfortable nayo kutua ni Dar es salaam...

Mwaka juzi anga ya Sudani ilifungwa ghafla...A380 ilikuwa inatokea Brazil ...
Akawa ana option ya kukwepa anga lakini na kutua kuongeza mafuta na abiria kupumzika kidogo...
Option ilikuwa JNIA... Na sio kwamba hawaoni Nairobi..

Kulikuwa na kimbumga Madagascar (2022)... A380 ikatafuta sehemu ya kutua..
Na akaelekwezwa kutoka UAE sehemu salama ni Dar na Wageni wakaa hotelini usiku mmoja..walichukua hoteli mbili posta
 
Sawa .. lakini zote hizo bado zina fall kwenye demo flight... Na kiuhalisia Fly Emirates haiwezi kuanzisha Safari zake kwa kutumia ndege hizi za A380 .. sababu ni kwamba Kwanza Tanzania kama destination haina wateja (watalii)wengi kama ilivyo South Africa au visiwa vya Mauritius au Saint Denis. Pili ndege aina ya A380 inafanya safari zile za ultra long haul flight.. mfano Dubai to re de Janeiro, Dubai to San Francisco, Dubai to Canberra , Dubai to Los Angeles... Ukijaribu kuangalia hizi destination nlizokutajia huwa ni safari za karibia 16hrs + non stop.. hivyo sio rahisi fly Emirates watumie ndege hizi kwa destination kama tz maana ni hasara .... Dubai to DSM haizidi 6 hours flight... Hivyo ndege za mid range kama B777,B787, B737 n.k zinaweza kutumika
 
Ni kweli kabisa mkuu... shukrani kwa majibu hasa

Ila mtoa mada alisema mfano walete ndege chache wafanye JNIA base ..
Yaani mfano Kuna wateja wa Emirates wapo US ..Wana ticket ya Kwenda Tokyo au South Korea...mara nyingi hufanya connection Dubai...

Sasa tukifanya JNIA temporary ya ndege chache kama hizo...
Japo najua hatuna facility za kutosha kuhudumia zikitua ndege kama 17 kwa wakati mmoja.. system zetu zita jam ila itaongeza Hela flani kwenye uchumi wetu
 
Wazo zuri sana ila mchawi ni idadi ya wateja yaani abiria. Halafu kumbuka Kenya airways yeye ndio ame dominate soko East Africa+Ethiopian
 
Back
Top Bottom