Series (Special thread)

Alimaanisha Tv show “All American”
Sema kwa drama kama ulivyosema kuna hizi hapa pia

-This is us- hii kitu ni one of the best
-Jane The Virgin
-Sex/Life
-Riverdale
-You- ila hii ipo dark flan hivi
-Succession- sio Love sana ila kama uko into business utaiona very interesting
-Filthy Rich
-The baker and the beauty
-Friends from college
-A discovery of Witches
-Star crossed

Zipo nyingi sana sema nimelist baadhi unaweza pata za kuanza nazo
Asante sana Mkuu.
 
Mzigo unaepisod 6 tuu umesimama sana
LqXNExWWalE.jpg
 
Hizi hazina seeders wengi kushusha mzigo utakesha sana!!! Mwenye link nyingine ya 24 720p na kuendelea ukitoa limetorent,o2tvseries,pirates bay,1337x,rarbg,nk.Naitafuta sana hii series.
Ahsanteni sana.
 
Inategemea na mtandao unaotumia...ok endelea kutafuta utapata
 
Snowpiecer... Moja ya series nzuri sana

Inahusu maisha ya baadae kunatokea na baridi kali duniani, hivyo kufanya watu kukosa makazi ya kuishi,wakati baridi kali hilo linatokea kunatokea na Train moja kubwa sana ambayo inazunguka dunia, so ili ujisalimishe na baridi hiko inakubidi upande hiyo Train inayozunguka duniani, na ndani ya Train hiyo kuna classes za maisha, kuna low life, medium hadi high life ndani ya hiyo hiyo Train...

Wakati Train hiyo ikiendelea kuzunguka dunia na baridi likizidi kuwa kali, ndani ya Train hiyo yanaanza kutokea mauji ya watu mbalimbali hivyo inapelekea mmiliki wa Train hiyo ambaye ni mwanamama kutafuta detective wa kuchunguza vifo vya watu hao,,,kwenye hiyo Train detective anapatika kwenye low class...

Hadi sasa mzigo uko na season 1 complete, na season 2 ndio ipo ongoing...

Moja ya series nzuri sana, Hii Snowpiecer miaka ya nyuma huko walishawahi kutoa movie yake nayo inaitwa hivyo hivyo Snowpiecer ya Christ Evans!!
Ujue tangu ulivyoelezea hapa nikaenda kuishusha season 1 na season 2 baadae ila sikuziangalia maana niliambiwa kuna movie yake pia so nikashusha movie nikaicheck kwanza ila izo nikaweka pending nikajua story itakuwa ileile ila week iliyopita nikaanza kuangalia aisee nikaziangalia seasons zote 2. Aisee ina story nzuri sana huu mzigo

images (1).jpeg
 
View attachment 1986528
Mzigo umetulia sana mkuu,nilipenda story yake,kuna sehemu niliona wanasema inakuja ya tatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom