Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 12,474
- 26,109
Nenda o2 TV series. ComUnaweza kunisaidia link mzee?
Nenda o2 TV series. ComUnaweza kunisaidia link mzee?
Shukran mkuu...Nilishaipata kupitia telegram.Nenda o2 TV series. Com
Nielekeze kupakua series kupitia telegram!Shukran mkuu...Nilishaipata kupitia telegram.
Kwangu Mimi katika series Bora za Netflix zenye story nzuri, za muda wote tangu niangalie series zao na kukufanya ushangae na kujiuliza mda wote Basi ni MONEY HEIST & DARK....
Hii Dark nilidownload season zote 3 nikaweka kiporo nikaanza nayo kuanzia alhamisi ya wiki iliyopita hadi leo nipo S03e07 si mchezo mzee hadi unasema hii ndo series sasa ya mtu mzima kukaa na kuangalia sio series hata mtoto mdogo akikaa unajua mwisho wa siku itaishia wapi.... Hapa netflix na wajerumani wamecheza Sana naipa 9/10 kwa upande wangu.
Kwahiyo alipatwa na nini hadi sura kuwa vile?Hapo kwenye Dark nakuunga mkono mzee
Kaka hizi series ni hatari,saddly hakuna mwendelezoTELANOVA NA REVOLUTION
Revolut ipi? Mpya au ile ya zamani.TELANOVA NA REVOLUTION
Daah! Nitaishusha hii OvalThe oval kitu kikali sana!Nimefika episode ya 25 bila kujua!Tatizo ni kwamba uhondo unakolea halafu season 2 haijatoka!
Hivyo hivyo kwa sistas!
Huo mzigo ni hatari aisee na wanamiss kweli iko kituKwa wale ambao bado hamjaangalia dark , kuna kitu mnakosa aisee
Jana nimeitafuta kwa watu wangu naowaamini hawana. Ngoja nisubirie subirieHuo mzigo ni hatari aisee na wanamiss kweli iko kitu
Wakati anatengeneza njia ya time travel Kuna vitu vilimrukia so zikawa zinasambaa mwili mzima hadi kuwa vileNdo mambo yangu haya mkuu, nitazisaka
Uisubirie kivipi wakati ishatoka hadi season ya 3Jana nimeitafuta kwa watu wangu naowaamini hawana. Ngoja nisubirie subirie
Hua sipakui series hua nanunua sehemUisubirie kivipi wakati ishatoka hadi season ya 3
brother, nahitaji mtazamo wako kuhusiana na series hizi kabla sijazitafutaUisubirie kivipi wakati ishatoka hadi season ya 3
Inakuja noga season ipi maana nilianza season 1 ikanichosha 😊😊Huo mzigo ni hatari aisee na wanamiss kweli iko kitu
Nmeshadownload season zote 3 na leo nmeangalia episode moja tayari nangoja weekend niendeleeUisubirie kivipi wakati ishatoka hadi season ya 3
Anhàa nishakupata mzeeHua sipakui series hua nanunua sehem