Series (Special thread)

Wadau kuna hii THE MANDALORIAN. Ni series kali balaaa hautajutia bando lako.

Kuna S4 ya the last kingdom
Pia nataka kuianza the knightfall..

..........

Halafu msaada kwa mtu anayejua series zenye mahadhi ya last kingdom ,viking , GOT , outpost n.k
 
Washkaj kwmb hata hamja ikubali ATHENA na IRIS ?
Iris na athena ni kali kinoma ndio movie kwangu kali za kikorea za town town.
Lakini unfortunately kuna uzi wa series za kikorea tu ndio maana unaona wadau wako busy na series zisizo za korea.
 
Wakuu kuna mtu yeyote amecheki FOR LIFE naomba anipe hints kidogo.
For Life ni legal drama..

Hii series inatokana na stori ya ukweli inayomuhusu Isaac Wright Jr aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa ambalo hakufanya, Akiwa jela anaamua kusoma na kuwa Mwanasheria ambae anasaidia kuwatoa marafiki wafungwa kadhaa kabla hajajitoa yeye.

Mpaka sasa zimetoka Eps 11...kama ni mpenzi wa legal drama kama zile Suits, Pearson, All Rise.. Hii sio ya kuiacha mkuu
 
Shukrani mkuu naitafuta leo.
 
Shukrani mkuu naitafuta leo.
Poa poa..
IMG_20200503_094704.jpg
 
For Life ni legal drama..

Hii series inatokana na stori ya ukweli inayomuhusu Isaac Wright Jr aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa ambalo hakufanya, Akiwa jela anaamua kusoma na kuwa Mwanasheria ambae anasaidia kuwatoa marafiki wafungwa kadhaa kabla hajajitoa yeye.

Mpaka sasa zimetoka Eps 11...kama ni mpenzi wa legal drama kama zile Suits, Pearson, All Rise.. Hii sio ya kuiacha mkuu

Good , lkn point to note ni
Wallace aliingia gerezani akiwa tayari ni mwanasheria tena mkomavu, go back en rewind it

Sema taaluma yake aliitumia bila kujali yupo katika mazingira gani
 
Ook shukrani kwa marekebsho bro!!!
 
Fauda season 3 nayo imeachiwa
Hapa waisrael na wapalestina wamelitendea haki bando langu na mambo ya gaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Nilichopenda hii series kila season inayofuata inakua kali kuliko inayofuata sio kama designated Survivor season ya kwanza ni kali kuliko ya 2.
Kwa mfano hii Fauda s03 imefunika seasons za nyuma maana kuna mission moja ya kwenda Gaza ni balaa aisee na nimejua why Israel wanaiogopa Gaza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom