Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,142
- 27,103
Hiyo hiyo
Ile ya waingereza?
Ile ya waingereza?
mkuu hivi baadaye inachangamka mimi nimeangalia scene za mwanzoni tu nikaipotezeaHiyo hiyo
mkuu hivi baadaye inachangamka mimi nimeangalia scene za mwanzoni tu nikaipotezea
PEAKY BLINDERSFafanua kidogo inahusu nini kiongozi
Hii ndo séries yangu namba 1 had tano halaf nyingine zinaanzia sita kuendeleaWakuu hii Breaking Bad nilikuww naichukulia poa
Ila ni bonge la series... Ambaye hujaicheki ebu itafute!!
Ukiona unatizama series kama hii ujue Uko matured enough. Mm Ndó nachek hapa season 5 naona Tommy kama anatetereka hv. Lakin najua hata hili jaribu atalishinda maana kuna wababe kibao amewakalisha huko nyuma.PEAKY BLINDERS
Kwa haraka haraka inahusu most powerfull criminal gang,liliundwa na maveteran wa WW1,likiongozwa na familia ya Shelby.Linalorun mitaa ya South Heath,Birmigham.Lakini,kiongoz wa kundi,Thomas Shelby,ana ndoto kubwa zaidi ya kurun mtaa tuu!!Katika harakat za kimagendo,members wa kundi kwa bahati mbaya,wanakosea katika kushusha mzigo unaowahusu,na kushusha mzigo wa serikali.Ndan ya mzigo huo kuna machine guns za kisasa kabisa na ammo za kutosha!!!Thomas Shelby,anaona hii ndo fursa ya kundi lao kukua sasa...
endelea hapa mzeeee
muendelezo wake nitapa wapi kama nitahitaji kuiangalia, namaanisha season 2, 3 n.kPEAKY BLINDERS
Kwa haraka haraka inahusu most powerfull criminal gang,liliundwa na maveteran wa WW1,likiongozwa na familia ya Shelby.Linalorun mitaa ya South Heath,Birmigham.Lakini,kiongoz wa kundi,Thomas Shelby,ana ndoto kubwa zaidi ya kurun mtaa tuu!!Katika harakat za kimagendo,members wa kundi kwa bahati mbaya,wanakosea katika kushusha mzigo unaowahusu,na kushusha mzigo wa serikali.Ndan ya mzigo huo kuna machine guns za kisasa kabisa na ammo za kutosha!!!Thomas Shelby,anaona hii ndo fursa ya kundi lao kukua sasa...
endelea hapa mzeeee
Kama upo Dsm sema nikuleteemuendelezo wake nitapa wapi kama nitahitaji kuiangalia, namaanisha season 2, 3 n.k
nipo nje ya Dsm,Kama upo Dsm sema nikuletee
nipo nje ya Dsm,
niwekee japo tovuti zitakazoniwezesha kuitafuta pindi nitakapohitaji.
ni mgeni sana kwenye huo ulimwengu wa series za mabeberu
Duuhmuendelezo wake nitapa wapi kama nitahitaji kuiangalia, namaanisha season 2, 3 n.k
vipi kuna tatizo?Duuh
Yah ina story nzuriGrand Hotel US imetulia
Nimependa story yake
Kulaaaleki hii season 5 tangu ianze,episode 4 The loop ni hatari!!Naichek dakika 10,af nafanya mishe nyingine,then dakika 10,ili nisiimalize haraka.Ukiona unatizama series kama hii ujue Uko matured enough. Mm Ndó nachek hapa season 5 naona Tommy kama anatetereka hv. Lakin najua hata hili jaribu atalishinda maana kuna wababe kibao amewakalisha huko nyuma.
Yaan shelby's hali ni mbaya had wanaanza kubet