Series (Special thread)

Fafanua kidogo inahusu nini kiongozi
PEAKY BLINDERS

Kwa haraka haraka inahusu most powerfull criminal gang,liliundwa na maveteran wa WW1,likiongozwa na familia ya Shelby.Linalorun mitaa ya South Heath,Birmigham.Lakini,kiongoz wa kundi,Thomas Shelby,ana ndoto kubwa zaidi ya kurun mtaa tuu!!Katika harakat za kimagendo,members wa kundi kwa bahati mbaya,wanakosea katika kushusha mzigo unaowahusu,na kushusha mzigo wa serikali.Ndan ya mzigo huo kuna machine guns za kisasa kabisa na ammo za kutosha!!!Thomas Shelby,anaona hii ndo fursa ya kundi lao kukua sasa...

endelea hapa mzeeee
 
If loving you is wrong.

Nimehangaika kutafuta hii series kwenye index ila naikosa...mwenye link ya hii kitu HD naomba anisaidie aisee.
 
PEAKY BLINDERS

Kwa haraka haraka inahusu most powerfull criminal gang,liliundwa na maveteran wa WW1,likiongozwa na familia ya Shelby.Linalorun mitaa ya South Heath,Birmigham.Lakini,kiongoz wa kundi,Thomas Shelby,ana ndoto kubwa zaidi ya kurun mtaa tuu!!Katika harakat za kimagendo,members wa kundi kwa bahati mbaya,wanakosea katika kushusha mzigo unaowahusu,na kushusha mzigo wa serikali.Ndan ya mzigo huo kuna machine guns za kisasa kabisa na ammo za kutosha!!!Thomas Shelby,anaona hii ndo fursa ya kundi lao kukua sasa...

endelea hapa mzeeee
Ukiona unatizama series kama hii ujue Uko matured enough. Mm Ndó nachek hapa season 5 naona Tommy kama anatetereka hv. Lakin najua hata hili jaribu atalishinda maana kuna wababe kibao amewakalisha huko nyuma.
Yaan shelby's hali ni mbaya had wanaanza kubet
 
muendelezo wake nitapa wapi kama nitahitaji kuiangalia, namaanisha season 2, 3 n.k
 
Wakuu naombeni list ya series za drama
Zinazoendana na:-

Queen sugar
If loving you is wrong
The haves and the have not
Ambitions
Grand hotel
 
Ukiona unatizama series kama hii ujue Uko matured enough. Mm Ndó nachek hapa season 5 naona Tommy kama anatetereka hv. Lakin najua hata hili jaribu atalishinda maana kuna wababe kibao amewakalisha huko nyuma.
Yaan shelby's hali ni mbaya had wanaanza kubet
Kulaaaleki hii season 5 tangu ianze,episode 4 The loop ni hatari!!Naichek dakika 10,af nafanya mishe nyingine,then dakika 10,ili nisiimalize haraka.
 
Oswald Mosley akimwambia dereva wake: When you've unpacked,there should be a girl laid on for you.Mr Shelby is a socialist,and believes in equality of service for all classes

PEAKY BLINDERS
 
Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom