Hahaha tabia mbaya kwenye mapenzi ndiyo nzuri...
Nimependa pale Connie alipomfumania Paul na kidemu chake akaenda kumtoa kwa wivu huku yeye ndio anayecheat ndoa yake, wakati wanaelekea ndani kwenye corridor Paul akamvuta Connie huku kambinua na kumwambia "I know what you want Connie" na mtoto akaresist kidogo huku ngoma ikiwa imeshafika kunako akaanza kulia kwa mahaba.
Nyingine pale cafe Connie alipokutana na rafiki zake Paul ikabidi amfate hukohuko akampeleka Toilet huku mtoto anasema " this is my best place Paul"
Nilijifunza kuwa mtundu na kujaribu kila kitu....
Pia mume wake Connie aliua bila kukusudia na Connie alipomuuliza akamwambia "I suppose to kill you not him"
This is my best romantic movie of all time

Aiseeeee nishazisahau hizi itabidi nizirudie tena....
About troy ni one of my favourite movies na nimeitazama zaidi ya mara 20...Achilles ktk ubora wake...
Aiseeeee nishazisahau hizi itabidi nizirudie tena....
About troy ni one of my favourite movies na nimeitazama zaidi ya mara 20...Achilles ktk ubora wake...
Hahahaaaaaa! Nimecheka, we Innocizy urudie ili uone nini? Au unataka maujuzi kama aliyoyapata chuma cha reli?
Wakuu, nahitaji series jamii ya Game of throne lakini yenye maadili ambayo naweza kuangalia hata na watoto wangu au hata wakwe zangu, Mwenye ujuzi naomba anipatie majina yake tafadhali
Troy ni movie ambayo kwangu ni bonge la movie na hii inadhiilisha kunapokuwa na watu makini hakuna kinachoharibika
David Benioff anabaki kuwa mwandishi bora kwangu kwa upande wa kuandika script na plot za histological Movie ndio maana hata Show yake ya Game of thrones inafanya vizuri
Hahahahaha uliza kwa sauti ya chini watasikia watu
Hiyo najua lazima uirudie, huoni mwenzio chuma cha reli kaikariri now mkewe anajuta kumfahamu(kidding)
Na ile Hellen of troy ni yeye pia????
Hiyo najua lazima uirudie, huoni mwenzio chuma cha reli kaikariri now mkewe anajuta kumfahamu(kidding)
Hii ni movie ambayo haikuwai kupata mafanikio kwangu Mimi ni low budget movie coz ukiangalia hata location na mavazi yao unajua kabisa, nafikiri umenielewa nilivosema hivyo
Labda kwa vile niliiyona baada ya kuangalia Troy yenyewe iliyojaza mastaa kibao kama Brat Pitt, Eric Banna na Orlando Bloom
Trojan war ilikuwa ni hadithi za kigiriki kama unavyojua wagiriki ni wakali sana kwenye hadithi
Kuna blockbuster movie nyingi ambazo zilitengenezwa kutokana na hadithi hizi mfano Clash of the Titan's
Hii Helen of Troy haikutengebezwa na watu makini ndio maana ni low budget movie
Hahahaha kurudia lazima....
Hivi umeshaona almost human????
Wakuu, nahitaji series jamii ya Game of throne lakini yenye maadili ambayo naweza kuangalia hata na watoto wangu au hata wakwe zangu, Mwenye ujuzi naomba anipatie majina yake tafadhali
Hivi ile 300 si walisema itakuja part two yake na watakua 1000 badala yake sijaiona nikaona sijui the 300 nini nini hivi
Baada ya kupata umaarufu na kuingiza pesa nyingi sana ile muvi ya 300 Spartans naona watengenezaji wake wakanogewa ikabidi watoe nyingine inaitwa 300 the rise of an empire, eti wakaelezea kisa kilichotokea mpaka ile empire ya Spartans ikatokea nafikili walielezea kisa cha miaka 10 iliyopita
Wakati hile muvi ya 300 ndio iliishia pale.
Hahaaaaa yule Kaboom alikuwa ananitakia balaa tu, anaacha kuwatch na mkewe anataka mie nikapate case!!
Hahaha case tena wakati wenzio ndio ataona mteremko kitonga kusaidiwa kazi....kulea mwanaume kazi wewe na hatuliziki sisi
We ujui kama cha kuonja kitamu na kizuri kula na mwenzio
(Just kidding)