Tulia.....taratibu nenda nayo ile sio ya kukurupuka kwanza uwe na subtitles halafu akili iwe imetulia sana......moja kati ya Best of series....haikosi top 5 yangu.
Dah hi inaonekana Kali sana mi niliangalia how I met your mother mpaka ikanishawishi niangalie comedy series zengine nakumbuka nikachek everybody hates Chris da kitambo ...nikipata muda wa kutulia ngoja nichek na hii vipi iko poa!?

iko poa sanaa...katika my top comedy series nilizozicheki hii ni 1st
1. silicon valley
2. catch 22
3. shameless
4. two and a half men
5. the big bang theory