Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 796
Imepewa promo kubwa,mwsho wa siku hakuna kitu
Ni utaratibu wao kuachia full season ila series ni ya kawaida sanaHANNA hakuna kitu aisee,wasambazaji wake nahisi walishitukia mapema,baada ya kuachia epsode moja,wakaona wasikilizie waje waachie vipande vyote,,watu tukomae na matango pori!!
Ndo zangu hizo mkuu si kama aina ya queen of south?nipe na link nyingine ya aina hizo
Ndooo ivoo mkuu...sema usishangae baadae anaonekana kwenye next epsode. Mwanzo Queen alikufa...maajabu saivi ni mzma na ameanza kuwasha moto.
Daah mi mwenyewe nasubiri nione hii series itaishiaje maana naona Pilgrim anitishia amekua mcharooooo
Nikupe link?ameigiza John Snow wa GOT nadhani ni Romance flani hivi ya Italy zamani sanawadau naomba msaada wenu kuna series hii inaitwa Medici: Masters of Florence season 2 ilitoka mwaka jana ila kila nikiitafuta kwenye search engine kama https://thepiratebay.org,https://eztv.io/ ,https://1337x.to/ naikosa.
http://dl.upfdl.com/files/Series/Medici Masters of Florence/ Pakua hapo mkuuwadau naomba msaada wenu kuna series hii inaitwa Medici: Masters of Florence season 2 ilitoka mwaka jana ila kila nikiitafuta kwenye search engine kama https://thepiratebay.org,https://eztv.io/ ,https://1337x.to/ naikosa.
ndio naombaNikupe link?ameigiza John Snow wa GOT nadhani ni Romance flani hivi ya Italy zamani sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nliona trailer tu...nikaona ni bila bilaWhiskey cavalier hamna kitu