Series (Special thread)

Wazee wa LA CASA DE PAPEL,na movie za aina hio,kuna hii mambo inaitwa THE KILL POINT,ya mwaka 2007.
Kutana na mtaalaam John Leguizamo kama MR WOLF(robbers wanatumia majina ya wanyama),utamkumbuka katika JOHN WICK kama Aurelio,veteran wa Iraq war,akiwa na wahuni wenzake katika harakati za kukwapua mipunga benk.Believe me,It is worth watchingπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 

Attachments

  • thekill_point09.jpg
    14.6 KB · Views: 58
wadau anayefahamu best political tv series kama house of cards na best psychological series kama Hannibal naomba anipendekezee hapa.
 
HANNA hakuna kitu aisee,wasambazaji wake nahisi walishitukia mapema,baada ya kuachia epsode moja,wakaona wasikilizie waje waachie vipande vyote,,watu tukomae na matango pori!!
 
Una link yake mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…