Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,138
The widow naona ni kali sana bt unfortunately ipo season moja tu yenye episodes nane. Vp kuna muendelezo??Series za 2019 hizo
Whiskey cavalier 2019
The passege 2019
The widow 2019
Sent from my iPhone using JamiiForums
I think so too....ingawa mwaka haujaisha.Nafikiri so far Hanna ni moja ya series nzuri zaidi kwa mwaka2019
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeetizama the passage...nadhan nimeielwaa sana.Series za 2019 hizo
Whiskey cavalier 2019
The passege 2019
The widow 2019
Sent from my iPhone using JamiiForums
Season one imeisha tayali,,10 ep
Mzee pale walichukua euro mil 900+ ambazo walikua 9.Nadhani kuna heist nyingine itafanyika, ukiangalia hawakurob big kutokana na muda kuisha.. days are numbered
Sent using Jamii Forums mobile app
uo uongo sjataka kuuamn kabx an et sura ndo imearbka2Nmemuona mtu kama Quinn kwenye episode ya 11 Into the Badlands..kwa aliyeangalia ina maana jamaa akufaga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mnazidownload wapi??
Official the 100 season 6 inatakiwa kutoka 30 april but two episode zimevuja.Itaanza Aprili 30,hizo episodes umepakua wapi?View attachment 1065935
Sent using Jamii Forums mobile app