Tena wahi sana maana season 3 inakuja muda si mrefu wameshaanza kutoa trela zakenimeomba link / index ya season two mpaka leo wadau kimya... fanyeni hima wadau nipate hii makitu season one nimeshamaliza season two ndio utata kuipata
S03 lini mkuuTena wahi sana maana season 3 inakuja muda si mrefu wameshaanza kutoa trela zake
Jack RyanKama kuna ya kigaidi na CIA,mbali na bodyguard anijuze wakuu
Huwa inajisave humo humo kwenye downloads ila baadhi ya simu hadi u reboot simu ndio zinaonekanaKwang inapakua ila sijui inapojisavenatafuta nizihamishe sizion kbsaaa daaah kwel yule alieitoa terrerium nikikutana nae pepon nitamsukumia moton kbsaaView attachment 868268
Hiyo TeaTv ili uifurahie zaidi weka App inaitwa IDM
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.dv.adm
Wakati una dawnload. Choose dawnload with...
Kisha chagua hiyo IDM.
Mbona kwangu ata link za kudownload series hainileteiHiyo TeaTv ili uifurahie zaidi weka App inaitwa IDM
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.dv.adm
Wakati una dawnload. Choose dawnload with...
Kisha chagua hiyo IDM.
Net kwenye simu yako ipo vizuri.Mbona kwangu ata link za kudownload series hainiletei
Ndiyo. Tena nikisearch ili nipate link inanambia no player links availableNet kwenye simu yako ipo vizuri.
Movie au series zote?? Wakati mwingine unakutan una taka ku dawnload upcoming episodes ambazo hazijatoka.Ndiyo. Tena nikisearch ili nipate link inanambia no player links available
Nadhan hiyo ndo sababu. Lakn teatv wenuew wanaweka na exact date ambayo episode hiyo itatoka na mimi on the exact date ndiyo huwa najarb downloadMovie au series zote?? Wakati mwingine unakutan una taka ku dawnload upcoming episodes ambazo hazijatoka.
Hiyo hunikuta kwa baadhi ya movie mkuu ila sio zote. Halafu mkuu hizi app si kwamba wanaweka series bali wao wanaweka namna ya ile app kukusaidia kukusanya link zote zenye hiyo movie/series.Nadhan hiyo ndo sababu. Lakn teatv wenuew wanaweka na exact date ambayo episode hiyo itatoka na mimi on the exact date ndiyo huwa najarb download
Kumbe kuna mda mwenzangu wa silicon valley.Inategemea na pixel mkuu, mimi nili download silicon valley ina mb 120 na 720p iko poa sana sio kwenye PC tu ata kwenye kideo mzee.