OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Ahaa home land si iko njema lakin? Genre ake ni ipiiNzuri ni Relative term mkuu
Inategemea unapenda movie zenye maudhui yapi.. Fiction , science fiction n.k
The flash imejaa science fiction, drama na action
Drama , intelligence, action , espionage and conspiracyAhaa home land si iko njema lakin? Genre ake ni ipii
Mkuu me napenda sana kuangalia move za upelelezi/ujasusi au za mission mbali mbali ila sizifahamu kabisa. Unashauri niangalie zipi ambazo ntaenjoy? Msaada tafadhali..
Thanks mkuuNenda katafute Burn Notice...
Ukimaliza sema upewe ingine...
Me nnayo kwenye flash, ila flash hyo nimeiacha home me nipo safari mkoa mwingine. Kama utakuwa na subira, nikirudi ntaangalia namna ya wewe kuipata.Mkuu madimule nifanyie wepesi namna ya kuipata stricke back naitafuta sanaa
Daah kweli mkuu aisee itakuwa vizuri sanaa....Me nnayo kwenye flash, ila flash hyo nimeiacha home me nipo safari mkoa mwingine. Kama utakuwa na subira, nikirudi ntaangalia namna ya wewe kuipata.
Malizia Mkuu....its interestingMi pia nimeiona episode 3
Haikunivutia mkuu kulingana na taste zanguMalizia Mkuu....its interesting
Yap inatoka majira ya spring official date haijawekwaMpk April iv nadhanii
walter white
Asante mkuuMpk April iv nadhanii
You got itwalter white
Index of /Series/Strike Back/klins niajee hii stricke back nitaipataje? Natumia simu mkuu