Mkuu... Msaada wa torrents links za series ya Leathal weapon mkuu.... Nimeicheki YouTube ni kali sana... Naangalia pirates Bay sioni wala eztv mkuu... Msaada
DISGNATED SURVIVORS
Ndo habar mpya ya mjini sasa hivi.episode ya 8 inatoka j5. ushawahi kumwona Keifer stuterland(Jack Bauer ) akiwa Rais wa Marekan.Nikita FBI? ITAFUTE ASEE!
Bobbyray mkuu kama shooter imetoka plz naomba link, maana unatoa link tuna pakua ila nikitaka kupakua tena episodes inayofuata siwezi ipata Sijui wapi nakosea
Wakuu naomba series za kiterrorist,CIA,mafia ....nimeangalia zinginezo kama The American,American Odyssey,24hrs,Scandal,na kuna nyingine Sharon stone ni vice president,Banshee Empire Have n Have nt nakadhalika......naombeni listttt