Series (Special thread)

Unaweza usifike March
Hata wao wanaweza wasifike March na hapa katikati ikatokea changamoto yeyote ikawakwamisha.

Mara nyingi Movie au Series ikifikia muda wanatoa teaser ujue wamemaliza shooting wapo katika hatua ya editing.

Sasa tukizungumzia dhana ya "what if" utagundua hakuna upande ulio salama kwenye kauli hii. Hata wao kwenye what if wanaweza ku lose hizo files au dharura yeyote ya kukwamisha.
 
Mimi nilianza kuiangalia halafu baadaye nikakutana na hiyo reels ya Rahul.

Nikiwa mkweli mimi hiyo movie haijanibamba kabisa ila tumetofautina haina maana ni mbovu kwa watu wengine pia.

Hata hii series mpya inayo trend ya The Body nimeishia dakika ya 21 ya episode 1.

Lakini wapo walioiona kali na wameikata yote.
 
Hizi ni movies/Series ambazo nimetoka kuziangalia hivi karibuni
Your browser is not able to display this video.



Ya kwanza kabisa hapo ni The Body na niliishia episode 1 katika dakika 21 kama inavyoonekana. Zingine zote nimezikata mpaka mwisho japo zipo baadhi ambazo nimezi stream kwenye site tofauti.

Jina la Site na link yake ni hii: Movy
 
Kwenye Mobland, character wangu naye mkubali ni huyu Frankie

Aisee huyu jamaa napenda sana jinsi anavyoongea yani kama hataki vile.
Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…