Series (Special thread)

Wahalifu sita, walioajiriwa kuiba almasi, hawajui utambulisho wa kweli wa kila mmoja wao. Wakati wakijaribu kuiba, polisi wanawavizia, na kuwafanya waamini kuwa mmoja wao ni afisa wa siri.
 
Wahalifu sita, walioajiriwa kuiba almasi, hawajui utambulisho wa kweli wa kila mmoja wao. Wakati wakijaribu kuiba, polisi wanawavizia, na kuwafanya waamini kuwa mmoja wao ni afisa wa siri.
Mkuu umenikumbusha wayback mwaka 1993 kuna movie inaitwa Bronx Tale, humu ndani kuna muhalifu mmoja anaitwa Sonny anaonekana akifanya mauaji na dogo mmoja, askari wanakuja wanamuuliza yule dogo nani aliyefanya mauaji ni huyu gangster yaani Sonny yule dogo anakataa kwa kum-save yule gangster, kisha huyu gangster anamgeuza huyu dogo kama mwanae kwa vile alivyomsaidia. Movie tamu sana
 
Naam mkongwe shukrani sana ngoja niidownload hapa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…