Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,007
Season 2 zile harakati kule America kusini sio powa kaka hii series kalii sanaNaomba kusema kwamba
Jack ryan ndio series iliyo beba mishemishe tulizo zizoea kwa akina jack BAWA kwa hivi karibuni. Nipo season 2 episode 7. Wamejitahidi
Sijui nitafika hadi mwezi wa 4 πHaya haya haya!!! The accountant 2 mwezi wa 4 inaachiwa
View: https://youtu.be/3wRCOqyDI6E?si=A-lWA3gAlJP0Kme6
Nzuri sana hii ile ya mwanzo huyu jamaa alikuwa anapiga harakati zake usikuUnataka kuona ngumi za kutumia nguvu iliyomo ktk kila msuli wa mwili wa mpigaji? Basi hii dare devil born again itakufaa
View: https://youtu.be/7xALolZzhSM?si=HGl-_sKUGvVVzzhv
Ya kwanza ni kali?Haya haya haya!!! The accountant 2 mwezi wa 4 inaachiwa
View: https://youtu.be/3wRCOqyDI6E?si=A-lWA3gAlJP0Kme6
Kazi imeanza
Ndio ndio kaka πKazi imeanza View attachment 3236806
Ndio mkuu hukuwahi kuicheki?Ya kwanza ni kali?
Ni mzuri sana. Vimdomo vyake sijui kavimbisha?Hii euphoria huyu rosalia atapigwa sana dushelele
View attachment 3236819
Bado kaka. Is it worth watching?Ndio mkuu hukuwahi kuicheki?
Mtoto wa kilatini huyo from Spain mzuri Sana huyoNi mzuri sana. Vimdomo vyake sijui kavimbisha?
Ipo gudiBado kaka. Is it worth watching?
Nilihisi tu ile asili itakua ya Spain. Mwamba wake ndo hapendelei demu mwenye vinyweleo dah! Ila wazungu bhana ππMtoto wa kilatini huyo from Spain mzuri Sana huyo
πππππNilihisi tu ile asili itakua ya Spain. Mwamba wake ndo hapendelei demu mwenye vinyweleo dah! Ila wazungu bhana ππ
Kuna kipindi thee Weeknd alikagonga hakoNilihisi tu ile asili itakua ya Spain. Mwamba wake ndo hapendelei demu mwenye vinyweleo dah! Ila wazungu bhana ππ