Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,259
- 79,857
Season two imetoka ??Risasi moja tu ya jicho kutoka kwa mwamba Jackal inamhusu.
Season 2 jamaa atakuwa anatoroka nchi na private jet baada ya msako mzito kutoka kwa Zina upande mmoja na MI6 agents kadhaa kwenye ma Range meusi waliokuwa wakimfukuza barabarani na yeye kuingia kwenye parking building na kubadilisha magari na kuwapoteza.
Atafanikiwa kuingia kwenye ka airstrip cha don mmoja mwenye winery nje ya mji kwenye kashamba flani ka mizabibu. Atatoka kwenye hangar vizuri tu na ki Gulfstream G8 chake na kuclear runway vizuri tu, ila ndege ikiwa hewani na ka stewardess kakiwa kana mmiminia champagne, ghafla mlango wa rubani unafunguliwa na rubani anatoka. Rubani ni nani? Jackal mwenyewe.
Wanaongea mawili matatu halafu Jackal anampiga ile "F@#k you" kama ya kale katapeli kengine ja kijerumani na kumpiga moja ya jicho.
BadoSeason two imetoka ??
Weka na go ahead brotherBado nina series tatu hapa nafatilia
1. A spy among friends
2. Out there
3. Wrong side of the tracks
Sasa naona hii Night agent niipe hadi Jumapili ndo niitazame ila najua tu mkishaanza kuihadithia tu humu lazima nifosi kuishusha ili twende sawa🤕
Ngoja niiongezee kwenye list, thanks anyway 😇Weka na go ahead brother
Ujinga wa hii series kuna mapenzi ya kitoto kama wahindi, pia full kuchekacheka kama wana genye wakati kila muda wanapelekeana moto yaani very boring.....but storyline is fantastico🍺
Acha utani basi. Hii niliipenda licha ya hayo mambo unayo yasemaUjinga wa hii series kuna mapenzi ya kitoto kama wahindi, pia full kuchekacheka kama wana genye wakati kila muda wanapelekeana moto yaani very boring.....but storyline is fantastico🍺
Nimezungumzia negative side yake tu mkuu ila mengine tupo pamoja
😀😃😃Ujinga wa hii series kuna mapenzi ya kitoto kama wahindi, pia full kuchekacheka kama wana genye wakati kila muda wanapelekeana moto yaani very boring.....but storyline is fantastico🍺
Mi mpaka nimalize gonahead bro hlafu nigonge na season 2 ya slow horses nitarejea hapoWakuu hii Night Agent yamoto sana, nafanya kuipuliza huku nainywa mdogomdogo nisije nikapaliwa.....hawa CIA watu wabaya sana😇
Basi mkuu kuna utamu unajichelewesha😋....yaani humu hadi risasi zinalia vizuri sijui huyu sound engineer amefanyajefanyaje😇Mi mpaka nimalize gonahead bro hlafu nigonge na season 2 ya slow horses nitarejea hapo
Sijaona muvi hapo nikishaona mambo ya akina jumanji anaconda kingkon huwa napita mbaliLa brea bonge la series
Mbona wamepita mle mle kwenye fromSijaona muvi hapo nikishaona mambo ya akina jumanji anaconda kingkon huwa napita mbali
Aha 🙏🏽Bado