Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,350
- 6,419
Yeah Mike mwamba sanaMzee wa Dili huyu sema mike huwa anamtuliza sana Kuna kipande alitaka kuleta fujo alivyokuja mike akawa mpole
Jamaa anajua sana Kuna kipande alimpanga yule muhuni wa Russia akapangika akawa mpoleYeah Mike mwamba sana
Anajua kucheza na akili za wahuni
Noma sana mkuuJamaa anajua sana Kuna kipande alimpanga yule muhuni wa Russia akapangika akawa mpole
Mimi napenda sana Series za namna hii itabidi ushushe nyingne za namna hiyoJamaa anajua sana Kuna kipande alimpanga yule muhuni wa Russia akapangika akawa mpole
Tafuta your honorMim
Mimi napenda sana Series za namna hii itabidi ushushe nyingne za namna hiyo
Sawa mkuuTafuta your honor
Umefikia wapi kakaNiliokuwa nabishana nao kuhusu Game of thrones naombeni munisamehe nyote nilijua nimeona mengi kumbe bado sana
Anza na CondorSawa mkuu
Na vipi kuhusu DEEP STATE na CONDOR ipi niruke nayo hapo
Ni series kalii sana hiyo mkuu season zote 3 ni kalii mike na bani wameupiga mwingi pamoja na kaka yake mikeNoma sana mkuu
Niko Season 1 asee mara ya kwanza nilikuwa sijaielewa nikajipa muda sa hv nimeanza kuisoma vyema sijui huko mbele itakuaje hii
Anza na condorSawa mkuu
Na vipi kuhusu DEEP STATE na CONDOR ipi niruke nayo hapo
Nzuri sana hii wafaransa wameupiga mwingi
Huu mtindo wa kuwaleta character wa kike kuchukua nafasi za character wa kiume naona umeshamili sana Hollywood
Hapana mkuu huyo ajachukua nafasi embu cheki trailer vizuri hiyo inamuhusu ballerina ambaye anajitegemea pekee na hajachukua nafasi ya John wick maana hata humu John wick yupo pia huyo demu aliokotwa na yule bosi mwenye hoteli hiyo ndio story yakeHuu mtindo wa kuwaleta character wa kike kuchukua nafasi za character wa kiume naona umeshamili sana Hollywood
Nipo season 7 mkuu mzigo unatembea balaa duhhh ni nomaUmefikia wapi kaka
Ewaaaa haya ndio mamboo sasaView attachment 3108180View attachment 3108181View attachment 3108182
Zitafuteni recommend kutoka kwa princess ariana Mimi nishaanza kuzidownload hapa Cc Mr Q