Series (Special thread)

Lini tena?

Na hii lini tena?

Napenda adventures na mambo ya bounty hunting

Na hii army of thieves lini tena? Nimemis mambo ya vault cracking
 

Attachments

  • 1715961048409.png
    426.9 KB · Views: 17
Kaka army of thieves Haina sehemu ya pili outer banks na hiyo ya maharamia lazima zienndelee hizo ila Netflix hawajasema zinatoka lini
Mbona kama army of thieves iliisha kuna mzee mmoja anaenda kumwona huyo dogo kwenye picha na ramani kubwa akimwambia anataka ampe kazi ya kusaka vault ambalo lilizama nadhani baharini tena akiwa na yule mwana mieleka dwayne? Au waliamua ku cancel hiyo project?

 
Itakuwa maana hii ni prequel ya army of the dead ndioo maana yule jaamaaa alikufa kwenye army of dead
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…