Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,000
sijajua kaka au ni panic room au travelersKuna ile kama watu wapo wana location wana andaa muvi halafu mmoja anapotea hukohuko na muvi inaendelezea hapohapo kwenye hilo tukio inaitwaje?
Mwenye link ya Telegram ya hii series naomba.View attachment 2983313
Ni crime nzuri sana hii
Nimeipata ni hiyosijajua kaka au ni panic room au travelers
Hongera kakaNimeipata ni hiyoView attachment 2987642
Mkuu Haipo hiiMwenye link ya Telegram ya hii series naomba.
Nahitaji link ya Telegram nikiwa na sababu na sio Torrent au website zingine za movie
Ngoja tuichekiHii nzuri ni true story View attachment 2987709
Hapo the ministry of ungentlemanly lazima niishushe chap πππView attachment 2988002
chagua moja
Kumbe nimeangamiza 3.9GB na muvi sio HD πππHongera kaka
π πππItazame kaka fidia gb 3 hizoooKumbe nimeangamiza 3.9GB na muvi sio HD πππView attachment 2988598
Nimeifuta maramoja π nasubiri itoke vazsheni safi nitaishusha tena. Ikitoka naomba tukumbushaneπ πππItazame kaka fidia gb 3 hizooo
Ikitoka nitakwambia Kuna siku nilichoma gb 4 kwenye movie kumbe ilikuwa katuni π πNimeifuta maramoja π nasubiri itoke vazsheni safi nitaishusha tena. Ikitoka naomba tukumbushane
Hahahaaha yani lazima ubaki unajichekaIkitoka nitakwambia Kuna siku nilichoma gb 4 kwenye movie kumbe ilikuwa katuni π π
Niliifuta nilizani ni movie π πππππHahahaaha yani lazima ubaki unajicheka
Nimeangalia ep moja sijaimaliza!! mbona kama pigo za kina Jumong? mashuka mengi au kuna kitu cha ziada?View attachment 2987678
Msimu wa pili unakuja soon